Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi tayari tunalo kombe
Ile 30 ishafutika


Arse8 bado wanasugua benchi
Na hawana mpira wowote wa kueleweka wa kubeba PL
Mnakaribia miaka minne tangu mlishike hilo kombe.
Kama suala ni kufuta tu hata sisi tunatakiwa kukiotea kikomba mara moja tu ndani ya hichi kipindi tuseme tumefuta?
Kama tusingezingua last season tungekuwa tumefuta aisee
Ila nadhani sisi na nyie hatutaki mambo ya Leicester City na kina Blackburn Rovers huko ya kushinda mara moja na kupotea.
 
Liverpool ndo tunaanza sherehe za ubingwa sasa🔥🔥🔥🔥
Nimeanza mdogo mdogo🔥🔥🔥
YNWA🙌🔥
Kwanini Mteseke roho?
Jiunge nami mpooze koo 🎧🎺🎷
Nasema booraaaa
Bora muenjoy🔥🔥👌

Unakaribishwa kupooza koo ndugu fungu la kukosa maana kombe lenu msimu huu ni mabao matatu aliyowazawadia Allison

Nje na hapo hamna kombe lolote
Njoo japo uinue kwapa na soda😂

OllaChuga Oc ,lembu , Cash Money Forever
Nitiiieni na yule marasta mwenye avatar ya Rais kiduku
 

Attachments

  • IMG_20240226_102703_246.jpg
    815.8 KB · Views: 2
2020 na 2004 unaona mko sawa?
Aliyewaroga alishafariki na vifaa vyake😂
 
Mwache mwamba. Na yeye wajukuu wake wataenda kumsalimia na kukuta medali kwenye shelf na kusema 'babu alikuwa champion' huku akina Pope na Sa wakionekana si lolote si chochote.

Huyu anakula Salary ya bure bila ya kutoka Jasho huku mechi zake anazocheza ni za Pooltable pale Bar ya Kitambaa Cheupe ya Merseyside.
 
2020 na 2004 unaona mko sawa?
Aliyewaroga alishafariki na vifaa vyake😂
Yaani nasema watu tunataka kushinda mara kwa mara siyo mara moja na kusema tumefuta. Fikiria je ikitokea mbebe tena ligi mwaka 2050, je mtafurahi kusubiri miaka 30 toka 2020?
 
Yaani nasema watu tunataka kushinda mara kwa mara siyo mara moja na kusema tumefuta. Fikiria je ikitokea mbebe tena ligi mwaka 2050, je mtafurahi kusubiri miaka 30 toka 2020?
Unaongelea mambo ya 2050 wakati mwaka huu tu tunabeba tena

Nyie hata ya mara moja hamna
Imagine 😁
Arse8 ni laana
 
Unaongelea mambo ya 2050 wakati mwaka huu tu tunabeba tena

Nyie hata ya mara moja hamna
Imagine 😁
Arse8 ni laana
Mwaka huu nawaombea mchukue. Mkishindwa bora tubebe sisi.
Je umeona jinsi mwaka huu bado hauna uhakika wa kubeba la ligi? sisi na City mmetuacha kwa points ngapi na GD gani? Mnahofu kwamba mkiteleza kidogo tupo karibu kutosha kuwapita. Kiutani utani hivi hivi mnashangaa na mwaka huu hamjabeba. Kidogo tu, miaka 10 imepita. Kidogo tena miaka 30 imepita.... mpira ni katili namna hiyo
 
Akikuona dokta Janabi na hayo masoda UTAMWELEZA
 
Yaani unasema hatuna uhakika na tupo kileleni mwa ligi tangu December
Hivi Aseno akili huwa mnazificha wapi😂😂😂
 
Hao wana laana ya Arsene Wenger
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio laana aliileta mzee Wenger mwenyewe pale Arsenal msimu wa 2003/2004, yaani ucheze mechi 38 bila kufungwa hata mechi moja halafu wenyewe unajisifu na kujiita UNBEATEN kumbe unakaribisha mikosi ndani ya nyumba, mganga wao akawaambia wakibadilisha uwanja hio roho ya mikosi itaondoka wakaupiga chini uwanja wa Highbury wakajenga Emirates lakini wapi.
Pep mwenyewe akishinda mfululizo kuna mechi nyingine hua anaachia tu points3 makusudi ili kujilinda na laana kama zile za mzee Wenger zisije mpata na yeye.
Elimu nyingine sio mpaka usomee darasani, kuna elimu dunia ukikaa na wahenga ndio unajua dunia hua inazunguka kwenye muhimili wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asenyani haven’t won anything ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…