Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi tayari tunalo kombe
Ile 30 ishafutika

Arse8 bado wanasugua benchi
Na hawana mpira wowote wa kueleweka wa kubeba PL
Mnakaribia miaka minne tangu mlishike hilo kombe.
Kama suala ni kufuta tu hata sisi tunatakiwa kukiotea kikomba mara moja tu ndani ya hichi kipindi tuseme tumefuta?
Kama tusingezingua last season tungekuwa tumefuta aisee
Ila nadhani sisi na nyie hatutaki mambo ya Leicester City na kina Blackburn Rovers huko ya kushinda mara moja na kupotea.
 
Utachokiona ukiamua kwenda huko ni kwamba mkubwa kuanguka ni kitu kinachotokea. Ila kuna kuamka pia. Kama nyie mlianguka mkaamka, kwa nini mjaribu kutubania na kutukatisha tamaa sisi katika harakati zetu za kuamka? Nyie tunawaona kama washindani wenza wetu, nyie mnatuona kama wapinzani wenu na mnatujia kwa chuki na hofu kubwa.

Sisi tutafika wakati hatutakuwa na maneno. Pira letu dunia nzima linaliona. Imeshazoeleka sasa mtu akitoka hajapigwa mkono anafurahia sana. Mfano mzuri ni Liverpool walivyofurahi kwamba tuliwapiga 3-1 tu.
Liverpool ndo tunaanza sherehe za ubingwa sasa🔥🔥🔥🔥
Nimeanza mdogo mdogo🔥🔥🔥
YNWA🙌🔥
Kwanini Mteseke roho?
Jiunge nami mpooze koo 🎧🎺🎷
Nasema booraaaa
Bora muenjoy🔥🔥👌

Unakaribishwa kupooza koo ndugu fungu la kukosa maana kombe lenu msimu huu ni mabao matatu aliyowazawadia Allison

Nje na hapo hamna kombe lolote
Njoo japo uinue kwapa na soda😂

OllaChuga Oc ,lembu , Cash Money Forever
Nitiiieni na yule marasta mwenye avatar ya Rais kiduku
 
Attachments

  • IMG_20240226_102703_246.jpg
    IMG_20240226_102703_246.jpg
    815.8 KB · Views: 2
Mnakaribia miaka minne tangu mlishike hilo kombe.
Kama suala ni kufuta tu hata sisi tunatakiwa kukiotea kikomba mara moja tu ndani ya hichi kipindi tuseme tumefuta?
Kama tusingezingua last season tungekuwa tumefuta aisee
Ila nadhani sisi na nyie hatutaki mambo ya Leicester City na kina Blackburn Rovers huko ya kushinda mara moja na kupotea.
2020 na 2004 unaona mko sawa?
Aliyewaroga alishafariki na vifaa vyake😂
 
Mwache mwamba. Na yeye wajukuu wake wataenda kumsalimia na kukuta medali kwenye shelf na kusema 'babu alikuwa champion' huku akina Pope na Sa wakionekana si lolote si chochote.

Huyu anakula Salary ya bure bila ya kutoka Jasho huku mechi zake anazocheza ni za Pooltable pale Bar ya Kitambaa Cheupe ya Merseyside.
 
2020 na 2004 unaona mko sawa?
Aliyewaroga alishafariki na vifaa vyake😂
Yaani nasema watu tunataka kushinda mara kwa mara siyo mara moja na kusema tumefuta. Fikiria je ikitokea mbebe tena ligi mwaka 2050, je mtafurahi kusubiri miaka 30 toka 2020?
 
Yaani nasema watu tunataka kushinda mara kwa mara siyo mara moja na kusema tumefuta. Fikiria je ikitokea mbebe tena ligi mwaka 2050, je mtafurahi kusubiri miaka 30 toka 2020?
Unaongelea mambo ya 2050 wakati mwaka huu tu tunabeba tena

Nyie hata ya mara moja hamna
Imagine 😁
Arse8 ni laana
 
Unaongelea mambo ya 2050 wakati mwaka huu tu tunabeba tena

Nyie hata ya mara moja hamna
Imagine 😁
Arse8 ni laana
Mwaka huu nawaombea mchukue. Mkishindwa bora tubebe sisi.
Je umeona jinsi mwaka huu bado hauna uhakika wa kubeba la ligi? sisi na City mmetuacha kwa points ngapi na GD gani? Mnahofu kwamba mkiteleza kidogo tupo karibu kutosha kuwapita. Kiutani utani hivi hivi mnashangaa na mwaka huu hamjabeba. Kidogo tu, miaka 10 imepita. Kidogo tena miaka 30 imepita.... mpira ni katili namna hiyo
 
Liverpool ndo tunaanza sherehe za ubingwa sasa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nimeanza mdogo mdogo[emoji91][emoji91][emoji91]
YNWA[emoji119][emoji91]
Kwanini Mteseke roho?
Jiunge nami mpooze koo [emoji442][emoji448][emoji449]
Nasema booraaaa
Bora muenjoy[emoji91][emoji91][emoji108]

Unakaribishwa kupooza koo ndugu fungu la kukosa maana kombe lenu msimu huu ni mabao matatu aliyowazawadia Allison

Nje na hapo hamna kombe lolote
Njoo japo uinue kwapa na soda[emoji23]

OllaChuga Oc ,lembu , Cash Money Forever
Nitiiieni na yule marasta mwenye avatar ya Rais kiduku
Akikuona dokta Janabi na hayo masoda UTAMWELEZA
 
Mwaka huu nawaombea mchukue. Mkishindwa bora tubebe sisi.
Je umeona jinsi mwaka huu bado hauna uhakika wa kubeba la ligi? sisi na City mmetuacha kwa points ngapi na GD gani? Mnahofu kwamba mkiteleza kidogo tupo karibu kutosha kuwapita. Kiutani utani hivi hivi mnashangaa na mwaka huu hamjabeba. Kidogo tu, miaka 10 imepita. Kidogo tena miaka 30 imepita.... mpira ni katili namna hiyo
Yaani unasema hatuna uhakika na tupo kileleni mwa ligi tangu December
Hivi Aseno akili huwa mnazificha wapi😂😂😂
 
Hao wana laana ya Arsene Wenger
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hio laana aliileta mzee Wenger mwenyewe pale Arsenal msimu wa 2003/2004, yaani ucheze mechi 38 bila kufungwa hata mechi moja halafu wenyewe unajisifu na kujiita UNBEATEN kumbe unakaribisha mikosi ndani ya nyumba, mganga wao akawaambia wakibadilisha uwanja hio roho ya mikosi itaondoka wakaupiga chini uwanja wa Highbury wakajenga Emirates lakini wapi.
Pep mwenyewe akishinda mfululizo kuna mechi nyingine hua anaachia tu points3 makusudi ili kujilinda na laana kama zile za mzee Wenger zisije mpata na yeye.
Elimu nyingine sio mpaka usomee darasani, kuna elimu dunia ukikaa na wahenga ndio unajua dunia hua inazunguka kwenye muhimili wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara moja moja tunaamua tu kuwatolea uvivu nyie wagombea wenza ili tu muone kuwa tuna jitihada na hizo jitihada zinawapa hofu washindani wetu.

Hata hili la kikombe hata cha chai cha ulaya, niliwakumbusha watu kuwa UEFA washawahi kuwa na UEFA Cup Winners Cup. Kishindano cha kijinga jinga flani maana unafuzu ukishinda domestic cup flani, mfano premier league, FA CUP, Leagu cup, nk. Baadae wakaona huu ujinga maana kikombe kama FA Cup kuna timu 124 zinakiwania na kimzaha mzaha unaweza kuta Hull City kakibeba. UEFA wakakimezesha hiki kituko ndani ya UEFA Cup ambayo ndiyo Europa sasa.

Anyway, ninachosema ni kijikombe cha kufutia machozi kilicho chini ya UEFA TUNACHO! Sasa mpango ni kuendelea kupambana tupate hivi vingine vikubwa. Nia tunayo na uwezo tunao. Ni suala la muda tu 😀😀

View attachment 2916693
ZOOM vixuri hapo juu pameandikwa UEFA 😀

View attachment 2916697
Cheki nembo kwenye ki trophy stand. Huyo mwenye kijani ni kipa David Seaman na aliyemshika bega ni Lee Dixon TIMING atakuwa anawakumbuka vizuri hawa.
Asenyani haven’t won anything ya maana
 
Back
Top Bottom