HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Mnakaribia miaka minne tangu mlishike hilo kombe.Sisi tayari tunalo kombe
Ile 30 ishafutika
Arse8 bado wanasugua benchi
Na hawana mpira wowote wa kueleweka wa kubeba PL
Kama suala ni kufuta tu hata sisi tunatakiwa kukiotea kikomba mara moja tu ndani ya hichi kipindi tuseme tumefuta?
Kama tusingezingua last season tungekuwa tumefuta aisee
Ila nadhani sisi na nyie hatutaki mambo ya Leicester City na kina Blackburn Rovers huko ya kushinda mara moja na kupotea.