Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaona sasa mlivyo na matatizo
Wenzenu koroboi lao bado la moto hata miaka miwili halijamaliza
Nyie hamna chochote🤣
Manyumbu hata washinde UCL hatuwezi kuwakubali wale mahasimu wetu. Wale tunachowatakia ni vipigo vya kutosha lakini wasishuke tu daraja ili tuendelee kuwafuatilia kwa ukaribu na kuwacheka
 
Wapone wote ila Allison hata akiendelea kupata stress si mbaya akapumzika
Dogo adake
 

Nimepata fununu hata Manure kumbe wanammezea mate Edwards.

Yani Real Madrid wangekuwa hawana Mfumo wa ule wa President kuwa ndiyo Mtendaji mkuu basi Papa Perez angekwisha mchukua mazima huyu Edwards kwasababu inaonesha kwasasa ndiye brain ya recruitment huyu jamaa.
 
Edward anataka FULL control over LFC’s operation ni wao wakubali au wakatae.

Hii ya Edwards kutaka full control nadhani jamaa bado anakumbuka sakata la NABIL FEKIR la mwaka 2018 alilofelishwa dakika za mwisho inaonesha jamaa aliumia sana hivyo hataki tena ujinga kama ule utokee.

Hivyo anataka akija Liverpool kusiwepo tena intervention kama ile aliyofanyiwa kwa Nabil Fekir ili kulinda nafasi ya Jordan Henderson.
 
Hii timu ni ya kibingwa tayari
Hata wakicheza watoto wote wa Academy wanachukua points 3
Huu mpira utapigwa hivihivi hadi Klopp anaondoka.

Ungelikuwa ulishuhudia kilio chetu 2008/2009 na 2013/2014 kipindi ambacho Washabiki wa Liverpool tuliumia zaidi katika Historia ya Liverpool basi usingeandika maneno haya.
 
Sterling pia alianza akiwa mdogo pale Anfield
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…