Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaona sasa mlivyo na matatizo
Wenzenu koroboi lao bado la moto hata miaka miwili halijamaliza
Nyie hamna chochote🤣
Manyumbu hata washinde UCL hatuwezi kuwakubali wale mahasimu wetu. Wale tunachowatakia ni vipigo vya kutosha lakini wasishuke tu daraja ili tuendelee kuwafuatilia kwa ukaribu na kuwacheka
 
Kelleher
Tsmikas

Last Carabao Cup final walifanya yao

This time same in a different style.

Kombe limebebwa kwa style ya kitofauti with those kids[emoji91][emoji91][emoji91]. How can you stop smile??!! YNWA

Miaka ya nyuma Klopp aliwanyima vijana nafasi unlike msimu huu, sasa wamemlipa kwa kuwaamini. YNWA

Kops haturingi hatuna majivuno, kwa ushindi wa aina yake dhidi ya Chelsea bila PK’s, twashangalia kistaarabu sana. YNWA.

Next two months we hope for more joy.

YNWA.
Wapone wote ila Allison hata akiendelea kupata stress si mbaya akapumzika
Dogo adake
 
TREY NYONI 🔥🔥
20240229_110205.jpg
 
Kwa taarifa zilipo. Edward anataka full control. Hiki kitu ndicho kilifanya aondoka. This time FSG hawachomoi aisee.

Na Edward atakubali hii ofa as long as Klopp hayupo hawajui ajaye atafanya yapi bora wakubali ya Edward.

Good thing FSG wameona hamna haja ya kumtegemea ajaye kama Klopp maana hasara kwa kutoshiriki CL wameiona, kuboronga last season wamelamba hasara pia.

Edward ni kichwa cha mpira, naamini selection ya players na kocha vitatoka kwake. He is that guy anaviona vipaji na adavantage yetu kwake anaendana na msuli wa kiuchumi wa FSG, he knows them very well.

Makocha mpaka sasa wanaowaniwa
1. Alonso
2. Amorim.

Ngoja tuone FSG watamkubalia ombi la kutaka FULL control?

YNWA

Nimepata fununu hata Manure kumbe wanammezea mate Edwards.

Yani Real Madrid wangekuwa hawana Mfumo wa ule wa President kuwa ndiyo Mtendaji mkuu basi Papa Perez angekwisha mchukua mazima huyu Edwards kwasababu inaonesha kwasasa ndiye brain ya recruitment huyu jamaa.
 
Edward anataka FULL control over LFC’s operation ni wao wakubali au wakatae.

Hii ya Edwards kutaka full control nadhani jamaa bado anakumbuka sakata la NABIL FEKIR la mwaka 2018 alilofelishwa dakika za mwisho inaonesha jamaa aliumia sana hivyo hataki tena ujinga kama ule utokee.

Hivyo anataka akija Liverpool kusiwepo tena intervention kama ile aliyofanyiwa kwa Nabil Fekir ili kulinda nafasi ya Jordan Henderson.
 
Hii timu ni ya kibingwa tayari
Hata wakicheza watoto wote wa Academy wanachukua points 3
Huu mpira utapigwa hivihivi hadi Klopp anaondoka.

Ungelikuwa ulishuhudia kilio chetu 2008/2009 na 2013/2014 kipindi ambacho Washabiki wa Liverpool tuliumia zaidi katika Historia ya Liverpool basi usingeandika maneno haya.
 
Wataalam wa vipaji tunasemaga "if you're good enough, you're old enough ". Pongezi nyingi kwa academy team yenu kwa jitihada zao ila wengine hapo kama huyo Elliott ni first teamers tayari sema tu ni wadogo kiumri. Saa zingine tunatumia umri wa vijana kukuza walichofanya (kijana mdogo hivi cheki mambo anayofanya uwanjani) na ni vizuri ila sometimes naona kama tunawashusha.

Pele aliingia Selecao na 17 years kama sikosei. Ronaldo da Lima pia. Messi kule Barcelona? Martinelli aliingia first team ya Arsenal na 18 years. Saka 17. Fabregas 17, Iwobi 17 na nadhani van Persie pia alianzia 18 au 19. Wayne Rooney 16 kule Everton Cristiano Ronaldo 17 au 18 Unyumbuni kama sikosei.

Naweza kuwa nimechanganya mahali ila narudi kwenye "if you're good enough, you're old enough". Hapa naongea waliopata chance ya kuwa regulars kiasi fulani. Hao vijana wa Liverpool aisee ukiachana na umri, wako vizuri.

Kwanza mpinzani mwenyewe alikuwa kenge. Tumekaa kimya tu huku ila mtaani tulikuwa tunashangaa sana mmefikaje 120 minutes na wale viwete. Academy team yetu ingewachapa hata 2-0 kabla ya dk 90 wale marasta uchwara.
Sterling pia alianza akiwa mdogo pale Anfield
 
Back
Top Bottom