Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Hahaha hakuna anayepinga ubora wa Kelleher. Na karibu 90% hawajawahi kuwa na anay doubt kumhusu. Last season fununu za alipotaka kuondoka tuliwaza tutapata wapi 2nd GK mzuri kama yeye ? Au ndio yatakuwa ya Adrian awe 2nd? Wakakaa nae wakayamaliza.

Kelleher is a good GK, tunapotofautiana ni kumuweka same pot ya ubora na Beckor.

Beckor ana world class saves na ame prove hayo years. Best GK in the world if not 2nd one, Kelleher bado hajathibisha hayo.

He is a good GK though, ila sio chungu kimoja na Alison.

YNWA
 

Naam. Utd since last season wanamtaka jamaa ila aliamua kukaa pembeni, na kufungua data analytical company yake. Hata leo hii wanamtaka.

Madrid pia walimtaka sema mfumo wao ndio kikwazo, nafikiri Perez aliona kiutendaji kuna mahali watashindwana, plus Madrid bado wapo kwenye ubora sana.

Kwenye biashara ya mpira jamaa anajua sana, laiti Klopp angemsikiliza kidogo tu ange enjoy ukocha wake.
 

Ile ishu naona alisamehe yakajirudia tena kuanzia 2019 mpaka alipoondoka. Alipendekeza Enzo na Guimaraes watue pale Hendo na Milner wapishe, hii ilikuwa project ya kwanza kwenye kureshuffle MF’s. Sasa Klopp aliwataka wanae aendelee nao, FSG wakabaki mtu kati hawaelewi waende na Klopp au Edward. FSG wakaona eeeh.!!! Bora Klopp ndiye kocha bana wewe mtu wa data tu usitugombanishe na baba mwenye nyumba. Huku na huku Hendo akaongezewa mitano, baadae Milner akapata wake, Gomez akapata mrefu.

Edward akaona embu nikae pembeni tu hapa ni sawa na sina kazi tu. FSG ndipo wakampa Klopp baraka zote za kiutendaji ndani ya uwanja, aamue amchukue nani amuache nani.

Sasa Edaward hiki kitu plus cha Fekir hataki kijirudie. Ukweli kazi anaitaka ila apewe mamlaka kamili. Nafikiri kwa ubora wake anastahili na anaweza. He has my 100% support. Nasubiri leo au kesho kama watamtangaza..

Aisee nitakuwa na furaha sana, hapo akija kati ya

Ruben Amorim
Roberto De Zerbi
Xabi Alonso

Tutaaumbua tu.

Moyes anasumbua kuna kichwa kipo pale kimekaa kinapika balaa Tim Steidten, akisaidiana na Mark Noble as Sporting director.
 
Huyo Kelleher mimi naona kwenye highlights ni upuuzi wa ma strikers kama wale marasi kukosa magoli kizembe ndiyo kunamuokoa. Jitu mara lipige nje su ligongeshe mwamba, au lishindwe kukontroo na kuseti mpira vizuri mguuni ili apige, kelleher huyo keshamuwahi.

Huyo kelleher akikutana na kina Saka, Watkins...aah nataja wataalam wa nini...hata Gordon, Rashidi Makame tu na Martial wanaweza kumshawishi astaafu ugolikipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…