Liverpool vs Man City.
Bahati mbaya sijawahi kuangalia mechi vs City bila trent kwenye Klopp’s era especially EPL.
Najua sasa ni zamu ya Pep kuumiza kichwa juu ya weakness ya LFC. Bradley tayari ameongeza ugumu wa mechi ya jumapili. Kwa nini ? Pep miaka yake vs Liverpool ali target upande wa Trent RHS weak link. Ambapo ilibidi Salah alazimike kurudi chini sana kufwata mipira maana haifiki akiwa half ya City kwan Trent anakuwa limited sana kupanda na kupiga long balls kwa Salah. Salah anatengenezewa 2v1 Trent anatengenezewa 2v1 ngumu kuchomoka hapo. Kama last match Doku na Silva vs Trent, Akanji na yeyote atakayekuwa na movements kwa Salah kuna muda alikuwa Rodri, kuna muda Ake na Akanji.
Last match it was tight bila Alison Blander na trial ya Trent at the edge of the box plus kuvutika kwa Gakpo kuliachia mwanya kwa Trent kuona shimo na kutupia mpira wavuni, basi huenda tungeshuhudia goalless/ 1-0 to either saide.
Thiago Thiago Thiago, huyu uwepo wake wake uwanjani ungeongeza uzito kwenye homework ya Pep. Anyway tuachane na ya Thiago tutumie tuliyonayo.
So far Endo vs Macca wapo form as our MF’s Szobo injuries zimempunguza kasi. City kuifungua ni kumpa pressure (kazi ya Macca) Rodri na Walker (huyu ndiye master wa City katika kuua counters, ila not Solid enough defensively). Rodri akiwa defended well itakuwa na wepesi kuwazuia Foden na KDB. Ni rahisi kumzuia Halaand kuliko Foden ni rahisi kumzuia KDB kuliko Foden wa sasa. Sasa hii ni homework ya Klopp. Zitapigwa pattern za kutosha kutokana na City watakavyokuja. Timu ikizuia inaweza kuwa na muundo wa 3-2, ikishambulia inaweza kuwa na muundo wa 2-3, 2-4 n.k. 3-2 (2 cb’s probably vvd and konate then Endo ankuwa kati kati yao). Natamani kumuona Klopp akiachana na inverted RB amwache Bradley acheze pure RHS, badala yake apige inverted ya LB (risk ila inaweza kulipa).
Formation is nothing only Time & Space kwa atakayeweza kuzitumia vizuri (pep mtaalamu wa hizi mambo ya Space).
Mechi ya Jota & Jones hii wanakupa well balanced match (offensively & defensively). Last season pep alituonea 2nd leg tulikuwa unga sana na viungo hohehahe, first match at Anfield nafikiri ni kwa sababu ya Anfield tulishinda kwa goli la Salah.
Kelleher
Bradley
Konate
Vvd
Robbo
Endo
Macca
Szobo (i wont be surprised kumuona Elliot akianza pia).
Diaz (he needs good decisions only)
Nunez.
Salah.
Mechi kubwa nikiwa na pressure kubwa huwa tunashinda comfortably, ngoja tutaona hii. YNWA.