Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20240307-WA0008.jpg
 
mwamba nimekubali na nafasi ya Mos D nakupatia wewe

Hili ni li line-up la ushindi

Trent mzembe wa kukaba, mzuri wa kushambulia.

Bradley mzuri kote

Tuone kipara atapita wapi

Dah.!!! Mkuu hiyo nafasi ni nzito sana aisee

Mosdef is just Mosdef [emoji1487]. Jamaa anaifuatilia Liverpool mno na nimejifunza mambo kwenye maandishi yake. Hata hivyo i appreciate your choice

Thanks kop tupo kupashana tu habari.

Ynwa
 
Nyie washikaji mna mpaka mwanasaikolojia? Duuh. Watu kwenye ugomvi wa visu mnaleta bunduki [emoji1][emoji1][emoji1]

Angalau sisi tulinunua kimbwa tukakiita 'Win' na chenyewe eti ndiyo ki stress relief companion cha team yetu. Imagine wahuni kama kina Gabriel wakiwa na stress eti wapetipeti kimbwa. At least hiyo haitupi advantage. Ila nyie sasa. Mwanasaikolojia kabisa? Daah! Kweli mnataka Klopp amalize na angalau ka treble.

Muhimu mkuu kwenye Mpira. Ujue vijana wadogo wakikosa proper management wengi wanapotea utandawazi unawavuruga sana. Hii inaenda hadi kwa senior huko. Mf. Nunez bila sessions kama hizi na chants kutoka kwa Kops, unapotea.

Chukulia own goal ya Matip vs Spurs unafikiri bila kukutana na mtu wa akili unakaa sawa kweli??

Sema ya kweny ya kimbwa dah.! [emoji39][emoji81][emoji81] Arteta anabuni mbinu ushindi upatikane which is good thing kama kinalipa.

YNWA
 
Kweli aisee. Baada ya Fulham niliwapa baraka zote nyie mkachukue tu hiki kiubingwa. Kwanza kiubingwa chenyewe sisi hatukitaki kihivyoo [emoji3][emoji3] sisi bado tuko phase 3 [emoji2][emoji2]

Sizitaki mbichi hizi au sio
 
Dah.!!! Mkuu hiyo nafasi ni nzito sana aisee

Mosdef is just Mosdef [emoji1487]. Jamaa anaifuatilia Liverpool mno na nimejifunza mambo kwenye maandishi yake. Hata hivyo i appreciate your choice

Thanks kop tupo kupashana tu habari.

Ynwa
Mos mwenyewe haonekani jukwaani, bora uichukue wewe inakufaa sana
 
Muhimu mkuu kwenye Mpira. Ujue vijana wadogo wakikosa proper management wengi wanapotea utandawazi unawavuruga sana. Hii inaenda hadi kwa senior huko. Mf. Nunez bila sessions kama hizi na chants kutoka kwa Kops, unapotea.

Chukulia own goal ya Matip vs Spurs unafikiri bila kukutana na mtu wa akili unakaa sawa kweli??

Sema ya kweny ya kimbwa dah.! [emoji39][emoji81][emoji81] Arteta anabuni mbinu ushindi upatikane which is good thing kama kinalipa.

YNWA
Naelewa na najua ni muhimu. Nadhani kila team ina wanasaikolojia sema sisi ni wakwanza kuwa na kimbwa. Mwanzoni tulimcheka Arteta ila checkshia jinsi tunapiga watu ma 5g kwa kwenda mbele. Mwambieni Klopp atafute kimbwa au Xabi aje nacho 😀
 
Liverpool vs Man City.

Bahati mbaya sijawahi kuangalia mechi vs City bila trent kwenye Klopp’s era especially EPL.

Najua sasa ni zamu ya Pep kuumiza kichwa juu ya weakness ya LFC. Bradley tayari ameongeza ugumu wa mechi ya jumapili. Kwa nini ? Pep miaka yake vs Liverpool ali target upande wa Trent RHS weak link. Ambapo ilibidi Salah alazimike kurudi chini sana kufwata mipira maana haifiki akiwa half ya City kwan Trent anakuwa limited sana kupanda na kupiga long balls kwa Salah. Salah anatengenezewa 2v1 Trent anatengenezewa 2v1 ngumu kuchomoka hapo. Kama last match Doku na Silva vs Trent, Akanji na yeyote atakayekuwa na movements kwa Salah kuna muda alikuwa Rodri, kuna muda Ake na Akanji.

Last match it was tight bila Alison Blander na trial ya Trent at the edge of the box plus kuvutika kwa Gakpo kuliachia mwanya kwa Trent kuona shimo na kutupia mpira wavuni, basi huenda tungeshuhudia goalless/ 1-0 to either saide.

Thiago Thiago Thiago, huyu uwepo wake wake uwanjani ungeongeza uzito kwenye homework ya Pep. Anyway tuachane na ya Thiago tutumie tuliyonayo.

So far Endo vs Macca wapo form as our MF’s Szobo injuries zimempunguza kasi. City kuifungua ni kumpa pressure (kazi ya Macca) Rodri na Walker (huyu ndiye master wa City katika kuua counters, ila not Solid enough defensively). Rodri akiwa defended well itakuwa na wepesi kuwazuia Foden na KDB. Ni rahisi kumzuia Halaand kuliko Foden ni rahisi kumzuia KDB kuliko Foden wa sasa. Sasa hii ni homework ya Klopp. Zitapigwa pattern za kutosha kutokana na City watakavyokuja. Timu ikizuia inaweza kuwa na muundo wa 3-2, ikishambulia inaweza kuwa na muundo wa 2-3, 2-4 n.k. 3-2 (2 cb’s probably vvd and konate then Endo ankuwa kati kati yao). Natamani kumuona Klopp akiachana na inverted RB amwache Bradley acheze pure RHS, badala yake apige inverted ya LB (risk ila inaweza kulipa).

Formation is nothing only Time & Space kwa atakayeweza kuzitumia vizuri (pep mtaalamu wa hizi mambo ya Space).

Mechi ya Jota & Jones hii wanakupa well balanced match (offensively & defensively). Last season pep alituonea 2nd leg tulikuwa unga sana na viungo hohehahe, first match at Anfield nafikiri ni kwa sababu ya Anfield tulishinda kwa goli la Salah.

Kelleher
Bradley
Konate
Vvd
Robbo
Endo
Macca
Szobo (i wont be surprised kumuona Elliot akianza pia).
Diaz (he needs good decisions only)
Nunez.
Salah.

Mechi kubwa nikiwa na pressure kubwa huwa tunashinda comfortably, ngoja tutaona hii. YNWA.
 
Naelewa na najua ni muhimu. Nadhani kila team ina wanasaikolojia sema sisi ni wakwanza kuwa na kimbwa. Mwanzoni tulimcheka Arteta ila checkshia jinsi tunapiga watu ma 5g kwa kwenda mbele. Mwambieni Klopp atafute kimbwa au Xabi aje nacho [emoji3]

Hahah kimbwa bakini nacho ubunifu wenu huo. Sisi tunaenda na pisi kali yetu.

Kwanza tumpate Michael Edward kisha aje atakayependekezwa na Edward. Huyu Edward ndiye aliyempendekeza Klopp.
 
Tulitumia nguvu kubwa kuwaaminisha Nunez ni mchezaji mzuri sana ni suala la muda. Kazi yetu tumeimaliza.

Sasa tunamuachia Darwin mwenyewe atutetee na sisi kwa vitendo.

Darwin El Panthera Captain Chaos. Ameanzisha mgahawa wa kahawa yeye na Macca.
 
Tulitumia nguvu kubwa kuwaaminisha Nunez ni mchezaji mzuri sana ni suala la muda. Kazi yetu tumeimaliza.

Sasa tunamuachia Darwin mwenyewe atutetee na sisi kwa vitendo.

Darwin El Panthera Captain Chaos. Ameanzisha mgahawa wa kahawa yeye na Macca.
Naam tupumzike sasa

Jamaa aanze kuonesha kazi mujarabu

Bonge la striker usuarez na utorres upo ndani ya mtu mmoja
 
Back
Top Bottom