Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule nyuma kuna tobo nina imani Klopp ashaliona tutapitia hapo hapoAmecheza mechi zake za karibuni kwa mpangilio Sanaa nimeona mechi ya united alivo wapelekea moto na jana kampumzisha mtu 6 kwa ajili ya hii mechi kazi tunayo.
Kipara hatanii
Dodo ni Muecuador alicheza poa sana last WC sikuwa najua kama yupo SpartaKunadogo pale sparta anaitwa Preciado duh! Huyu dogo ana kitu
Huyu mzee bange sana 😀Jurgen Klopp asked if any Sparta players impressed him and could be signed:
"I retire in the summer. You want me to take him on holiday?
🤣🤣🤣🤣
mwamba nimekubali na nafasi ya Mos D nakupatia wewe
Hili ni li line-up la ushindi
Trent mzembe wa kukaba, mzuri wa kushambulia.
Bradley mzuri kote
Tuone kipara atapita wapi
Nyie washikaji mna mpaka mwanasaikolojia? Duuh. Watu kwenye ugomvi wa visu mnaleta bunduki [emoji1][emoji1][emoji1]
Angalau sisi tulinunua kimbwa tukakiita 'Win' na chenyewe eti ndiyo ki stress relief companion cha team yetu. Imagine wahuni kama kina Gabriel wakiwa na stress eti wapetipeti kimbwa. At least hiyo haitupi advantage. Ila nyie sasa. Mwanasaikolojia kabisa? Daah! Kweli mnataka Klopp amalize na angalau ka treble.
Kweli aisee. Baada ya Fulham niliwapa baraka zote nyie mkachukue tu hiki kiubingwa. Kwanza kiubingwa chenyewe sisi hatukitaki kihivyoo [emoji3][emoji3] sisi bado tuko phase 3 [emoji2][emoji2]
Mos mwenyewe haonekani jukwaani, bora uichukue wewe inakufaa sanaDah.!!! Mkuu hiyo nafasi ni nzito sana aisee
Mosdef is just Mosdef [emoji1487]. Jamaa anaifuatilia Liverpool mno na nimejifunza mambo kwenye maandishi yake. Hata hivyo i appreciate your choice
Thanks kop tupo kupashana tu habari.
Ynwa
majibu ya kikakisiJurgen Klopp asked if any Sparta players impressed him and could be signed:
"I retire in the summer. You want me to take him on holiday?
🤣🤣🤣🤣
Mos mwenyewe haonekani jukwaani, bora uichukue wewe inakufaa sana
Naelewa na najua ni muhimu. Nadhani kila team ina wanasaikolojia sema sisi ni wakwanza kuwa na kimbwa. Mwanzoni tulimcheka Arteta ila checkshia jinsi tunapiga watu ma 5g kwa kwenda mbele. Mwambieni Klopp atafute kimbwa au Xabi aje nacho 😀Muhimu mkuu kwenye Mpira. Ujue vijana wadogo wakikosa proper management wengi wanapotea utandawazi unawavuruga sana. Hii inaenda hadi kwa senior huko. Mf. Nunez bila sessions kama hizi na chants kutoka kwa Kops, unapotea.
Chukulia own goal ya Matip vs Spurs unafikiri bila kukutana na mtu wa akili unakaa sawa kweli??
Sema ya kweny ya kimbwa dah.! [emoji39][emoji81][emoji81] Arteta anabuni mbinu ushindi upatikane which is good thing kama kinalipa.
YNWA
Naelewa na najua ni muhimu. Nadhani kila team ina wanasaikolojia sema sisi ni wakwanza kuwa na kimbwa. Mwanzoni tulimcheka Arteta ila checkshia jinsi tunapiga watu ma 5g kwa kwenda mbele. Mwambieni Klopp atafute kimbwa au Xabi aje nacho [emoji3]
Naam tupumzike sasaTulitumia nguvu kubwa kuwaaminisha Nunez ni mchezaji mzuri sana ni suala la muda. Kazi yetu tumeimaliza.
Sasa tunamuachia Darwin mwenyewe atutetee na sisi kwa vitendo.
Darwin El Panthera Captain Chaos. Ameanzisha mgahawa wa kahawa yeye na Macca.