Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Well said KOP captain Marvelous
 
What a game very class game. Hadhi ya fainali ya Champions league [emoji91][emoji91]

Bradley
Quansah
Kelleher

Wamekwiva performance zao toka mwaka upinduke ni nzuri. Imagine umkose Matip & Konate kisha unapewa Quansah vs Alvarez,Silva,Foden, KDB unamkosa trent (ambaye defensively sijawahi kumkubali) unapewa Bradley. Kuna muda Alvarez na Silva walibadilishana namba kwa ajili ya Bradley.

Elliot sijui kwa nini wengi hawaoni ubora wake ila ni mchezaji mzuri sana akicheza RCM. Unahitaji watu wenye ku hold mipira kama yeye (japo hajakomaa ila ame improve pakubwa sana). He is good whenever i see him as RCM moyo unatulia.

Sub ilijaa giza giza Gakpo for Nunez (otherwise precaution tu, kuna muda Nunez aligonga post kwenye paja la kule akitaka kucheza cross ya Bradley). Ila vinginevyo pale Klopp ametuibia.

Watu Endo what a deal we had done it…!!! Him with Macca meant business. Bahati mbaya kwa Klopp ilimchukua injury ya Macca kuona ubora wa Endo. Nje ya mbinu una hitaji ubora wa mchezaji (Hendo & Milner hawakuwa nao),..

Kabla ya mechi nilisema Ukiweza kudeal na Rodri plus Walker basi City unaweza kuwahimili. Endo kavaana na Rodri vilivyo, Diaz alihakikisha walker hapandi sana kuleta madhara na Speed zake. Pep humtumia Walker kuzima counter attacks na imekuwa hivyo, Klopp aliichanga karata vizuri kwa Walker na Rodri.

Bradley & Gomez defensively iliwanyima City umwamba kupitia kwa Foden na Alvarez/Silva. Kudos to Quansah Vvd & Kelleher ([emoji91][emoji91] 1st half put us in the game with his excellent saves).

Hallaand sijawahi kumhofia ikiwa una good CB’s threat yake ni ndogo mno ni Mr. Tap ins tu. 3-2-2-3 offensively ilitumika changanoto hatukwa na quality upfront lets say una Jota Salah and Nunez mechi ilikuwa inaisha mapema sana ile.

Kudos to Klopp, Kudos to the boys,
Diaz should step up, kwenye decisions zake. Anapaswa kujua wapi niachie mpira, wapi ni hold, nitoe pasi nitafute nafasi, mechi kama hii na nafasi zile ndipo Salah anaibuka na mituzo. Kati ya 3 hakosi 1.

YNWA.
 
Endo ni Dm haswa.. kanikabia leo Foden🔥 kanishikia viungo city sijaona fujo zao
 
Poleni ila pia hongereni. Sare inampunguzia kasi kidogo kipara na pia inawapa nyie imani kuwa mnaweza.
Sisi pia inatupa imani. Tukimpiga kipara inamaana atakuwa ameangusha points 5 kati ya 6 dhidi yetu mzunguko huu. Tukifanya vizuri sana mechi zilizobaki na tukazishinda, mwisho wa msimu tutakuwa tunachekelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…