Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2930714
Kumbe inawezekana kabisa kumzuia Kipara na kumfunga kabisaa na kukosa majibuuu
Well on another day tuna nafasi, credit kwa vijana na walimun pia

YNWA
Kimsingi hii ilikuwa mechi kati ya Pep na Klopp, msimu ujao hamtakuwa na mwalimu wenu anayemuweza kipara,lets wait and see mkuu.
 
Gakpo amepoa mno

Endo amekata mirija yote

Gomez kipindi cha kwanza akiwa LB alipwaya

Kipindi cha pili upande wa kulia amejitahidi

Nunez hakupaswa kutoka

Lakini fresh Klopp hapingwi
 
View attachment 2930714
Kumbe inawezekana kabisa kumzuia Kipara na kumfunga kabisaa na kukosa majibuuu
Well on another day tuna nafasi, credit kwa vijana na walimun pia

YNWA

New MF Impact. Sikumbuki ni lini tuliwahi kumuwin hivi kipara.

Kina Henderso, Milner walikuwa wanatuibia sana. Ukiwa na MF wazuri pep unammiliki vizuri tu. Remember Tuchel akiwa na Kante, Kovasic, Kipara alibutuliwa mechi tatu CL final, FA na EPL…!!! Mbinu nzuri, Mwl mzuri na wachezaji wazuri.

Klopp alikosa wachezaji wazuri hasa kwenye kiungo. Ndio maana Madrid na huyo Kipara wali enjoy tukikutana. Milner (34-37) hawezi kukupa quality, Hendo tunamjua vizuri mbovu wa mbinu, sio msomaji wa mchezo unavyozidi kuendelea. Huku una mapancha Keita, Ox & Thiago hapo Klopp anawategemea warudi wampe matokeo. Kitambo anawasubiri ni draw tu zinatembea.

Klopp angemsingiliza Edward kuhusu kina Endo asingeishiwa nguvu hivyo alivyotuambia.

Endo & Macca at the middle park [emoji91][emoji91]
Diaz aliparuana na Walker vizuri hakuna kupanda, jambo katunyima raha zaidi, ule mpasi wa Salah ulipaswa kuwa goli.

Gomez kamrithi Milner hana wasi wasi kabisaaaa.

Trent akirudi aamue

1. Kujifunza kukaba
2. Atokee banch
3. Aombe kukupiga RCM

YWNA
 
Lazima amrudishe RB

Ila Bradley anapawezea sana kumzidi TAA
 
Kimsingi hii ilikuwa mechi kati ya Pep na Klopp, msimu ujao hamtakuwa na mwalimu wenu anayemuweza kipara,lets wait and see mkuu.

I can promise you tutakuwa zaidi ya hapa mkuu.

Kuna makocha mbona huwa wanampa proper challange pep sema ndio sio timu za ubingwa. Nuno Espirito akiwa na Wolves wake katazame stats Pep kateseka nae. Nuno akaenda Spurs kamkanda pep H/A.

Ishu ni moja Edward akimalizana FSG basi mwakani tunaendelea alipoachia Klopp hasa hasa makocha hawa Alonso na Amorim mmoja akija baaasi we will be even better.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…