sure. Na hatokei tokei mpira kizembe. Anakuwa calm under pressure. Hata lile goli la stones imetokea tu akapangulia ndani.Kelleher akiwa golini nakuwa na amani sana, dogo anajiamini sana habutui butuhi hovyo kama Allison
kabisa jamaa ana maamuzi fulani ya kihekima sana. Ingekuwa yule alechezesha mechi ya everton na man u sijui ingekuwaje?Michael Oliver ni refa ambaye akichezeshaga mechi za Liverpool huwa nakuwa na furaha sana mixer amani
Nampenda sanaaa
Refa wangu bora kwa epl kwa kizazi hiki
Tumepata mtu sahihiDah!!!! THIS MAN Dah!!!View attachment 2930737
Mapafu ya farasi finishing ya kengeDiaz missed two clear chances but alikichafu sana. Huyu jamaa anamapafu ya farasi aisee
Kwa Enzo walipuyanga Chelshiti halafu hata ile World Cup kazi alikuwa anaifanya Mac Allister lakini alikuwa anaimbwa EnzoIle mikenge ya darajani
Ooh liver eti wametuiga
Enzo nao wamepata Endo
Nyie kenge Enzo wenu anacheza kama Endo?
Anazeeka vibaya Toka ametoka kuwa majeruhi kiwango kimeshuka hataki kukubaliana na hali.Hata alipokua jukwaani aliendelea kumlalamikia kocha kwa nini amemtoa?
Not only a penalty but also straight red card
halafu huwa anajiamini sana matumizi ya VAR huwa ni machache sana,kabisa jamaa ana maamuzi fulani ya kihekima sana. Ingekuwa yule alechezesha mechi ya everton na man u sijui ingekuwaje?
Ulitisha Sana mkuu... Binafsi niliamini Tutashinda mbili... Anyway tumecheza vizuri sema bahati haikua upande wetu
Kuna mtu niliwahi mwambia doku ni kama nyuki wa mashineni hana madhara .Leo kakubali mwenyewe .
Braza ndo maana game ya Jana Diaz anakosaje magoli game ya man united na Liverpool OT itakuwa ngumu siku hyo united watapambana sana hata game ya Everton itakuwa sio rahisi game ya Jana tungeshinda hata lolote litakalotokea OT sio mbaya ndo maana mm game ya arsenal na city naomba draw ikishindikana arsenal ashinde tu coz na yy Bado anakibarua Kwa Tottenham na Huwa hawapendan sana unaweza shangaa Tot akamkazia arsenal ila akatupa fair sisi ili tu arsenal asichukue ubingwaKwenye mpira kuna vitu Mtu akiwanavyo huwa ni Commedian sio muelewa wa Mpira.
- Kutanguliza ushabiki mbele kuliko uhalisia.
- Kutokujua historia ya Timu zinapokutana.
✓ Mimi nimepima Ubora wa City na Ubora wa Liverpool na nikaangalia Mentality ya Pep na Mentality ya Klopp bali nikajua kuwa game ya leo atakayemuoutclass mwenzake ndiyomana nikasema kuwa Naitabiria sare.
✓ Na vilevile linapokuja suala la Liverpool kutaka Ubingwa basi hata siku moja usimuamini Manure na Everton (Hii washabiki wa walioanza kuipenda Liverpool ya Klopp hawawezi kujua).
Hizo Timu mbili zinapoona Liverpool anataka Ubingwa basi zipo tayari kufanya kila kitu ili kumuharibia.
Sasa subiri tukikutana nao utaona Washabiki wa Liverpool ya Klopp wanatangaza tutawafunga 5.
✓ Lakini mimi nasema wazi our most tricky game kwa msimu huu ni game yetu na Manure pale OT. Siku hiyo hata Rashford atakuwa Messi. Advantage pekee tuliyonayo ni kwa Ten Hag bado haijajuwa kucheza na Big Six zinamsumbua lakini akiamka vizuri tunaweza tukapata shida.
Poleni ila pia hongereni. Sare inampunguzia kasi kidogo kipara na pia inawapa nyie imani kuwa mnaweza.
Sisi pia inatupa imani. Tukimpiga kipara inamaana atakuwa ameangusha points 5 kati ya 6 dhidi yetu mzunguko huu. Tukifanya vizuri sana mechi zilizobaki na tukazishinda, mwisho wa msimu tutakuwa tunachekelea.