arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,166
- 4,005
Usituambie tujitahidi...saa Tano kama kwny kideo uone watu wanavyoulizwa maswali magumuπ€ π€ ...watoto wadogo sana wale[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kuwatisha broo, ninachofanya ni kuelezea hali halisi ya Arsenal linapokuja suala la kucheza mechi za pressure.
Kikubwa jitahidini leo mumfunge Porto ita boost confidence mkikutana na City, ila leo mkitolewa Uefa mtakua very desperate, mechi inayofata na City Guardiola atakua kama anamsukuma mlevi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Trent mpen hata wingerLazima amrudishe RB
Ila Bradley anapawezea sana kumzidi TAA
Msiwe na shaka ndugu zetu. Huyu mamacita kono la nyani linamhusutupigieni kwa niaba yetu kwa kweli sisi tumeshindwa kumfunga kengele jitahidi mumfunge kengele.
Msiwe na shaka ndugu zetu. Huyu mamacita kono la nyani linamhusu
Luis angekuwa na akili za haraka kama Salah angekuwa mbali zaidi ya hapa
Huu ni udugu wa mashaka huu π€ π€nyie hata mkichukua ubingwa mimi sina shida ukiiukosa wewe nichukue mimi ila sio kipara pambaneni kwa hilo mkuu.
Diaz amekosa tu akili nzuri kama ya Jota na SalahAna utofauti wa akili na miguu, miguu ipo haraka kuliko akili vinapishana.
Atafute uwiano.
Zile nafasi Jota imo
View attachment 2932690
Finally he is back. Iβm so Happy.
Next
Sporting director Richard Hughes
Coach Amorim
Arsenye hatuwapendi ila ni mara mia tukikosa sisi mchukue nyieHuu ni udugu wa mashaka huu π€ π€
hapana huyo jamaa si mtu wa makuu na huwa anajibu poa si kama mashabiki wa team nyingine lakini pia liverpool wengi ukiwauliza ni bora nyie mchukue kuliko kipara mkuu.Huu ni udugu wa mashaka huu π€ π€
Kipara watu wamemchoka....anakufanya mtu usipoteze mechi zaidi ya 2 ukitaka ubingwa...too demanding kwakwlihapana huyo jamaa si mtu wa makuu na huwa anajibu poa si kama mashabiki wa team nyingine lakini pia liverpool wengi ukiwauliza ni bora nyie mchukue kuliko kipara mkuu.
Luis Diaz na Raheem stelring tofauti yao ni mmoja kanyoa punk na mwingine amesuka, lakini uwiano wa kukimbiza upepo na kukosa magoli unafanana.Ana utofauti wa akili na miguu, miguu ipo haraka kuliko akili vinapishana.
Atafute uwiano.
Zile nafasi Jota imo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnaanza kutupangia na namna ya kucheza nao...tukifunguka mnasema tutafungwa..tukikaa nyuma tutafungwa..Sasa tuchezaje ndugu zetu[emoji1783][emoji1783]..basi hatutaingiza timu uwanjani Ili hayo yte tusiyafanye
Diaz amekosa tu akili nzuri kama ya Jota na Salah
Vinginevyo ni mchezaji mzuri sana,nguvu anazo.
Yajayo yanafurahisha[emoji91][emoji91][emoji91]
Huyu Thiago ni nomaGames Liverpool players have missed through injury this season:
π Thiago: 43
π Bajcetic: 37
π Matip: 23
π Robertson: 21
π Bradley: 20
π Doak: 20
π Alexander-Arnold: 14
π Jota: 14
π Jones: 11
π Alisson: 10
π Salah: 10
π Szoboszlai: 10
π Tsimikas: 9
π Mac Allister: 6
π Gravenberch: 5
π Konate: 5
π Nunez: 3
π Gakpo: 3
π Kelleher: 2
π Gomez: 1
π Endo: 1
A combined 268 games. What weβve done this season has been genuinely incredible.