Siyo kocha hii mechi timu nzima ilipanga kuiuza maana hadi kocha mwenyewe kashangaa, liverpool siyo ya kucheza hivyo dhidi ya man u..Kocha kazingua leo
Wauzwe tu hao, hapo hamna kituHawa wachezaji average kama Gakpo na Diaz hawawezi kutupa makombe
ZilikuwaPoor defending, eneo la ulinzi la Liverpool lilikuwa ovyo sana ni vile tu washambuliaji wa man u hawakuwa makini ila mapema tu zilikuwa zinafika hata 7
Bora kelele zimepungua mtaani, maana ilikuwa kelo tukutane tena Epl lazima mdondoshe point hapo.ππππππππππππππππππππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππππππππππππππππ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
Kile mlichowafanyia Chelkenge kwny ile fainali na nyie leo kimewakuta...goli la dk za mwsho linauma sana...maana hupati mda wa kuchomoaNishawahi kusema hapa , Diazi akili yake haipo haraka kama miguu yake.
Diazi ile ni copy kabisa ya Raheem Sterling, tofauti yao ni mmoja kasuka dread huku huyu mwingine amenyoa punk.Nishawahi kusema hapa , Diazi akili yake haipo haraka kama miguu yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtakatifu Anne hawezi kuonenakana humu, Leo atajifanya yuko busy anahudumia ndoa[emoji16][emoji16][emoji16]Carabao mtunyangβanye. Na FA nalo? Aiiii habib, onja raha ya kufungwa. Hili kapu kama naliona linaenda darajani Saint Anne
Hayo ni maneno yako...Manunu ni Bora afungwe na City akachukue ndoo kuliko Livakuku...yaani Livakuku ugomvi wao na Manunu ni mkubwa sana...mechi ya Ligi Livakuku ahesabu Hana chakeDiazi ile ni copy kabisa ya Raheem Sterling, tofauti yao ni mmoja kasuka dread huku huyu mwingine amenyoa punk.
Ila wanangu wenyewe kuku vishingo msijali sana mechi inayofata ya Epl hapahapa Old Trafford tutawapea points3 muongoze ligi, huku mamaCita na Arsenyeto wakipasuana wao kwa wao.
One won Carabao , one lost FA...its part of the process..Kwamba vijana walikuwa wamesemaje tena...?
Fighting all front one down man. Less 2 games for us maana tungecheza Semi na final hivyo tupokimegika leo next game ni mwisho wa mweziNdio ndio zitue kaka