Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbe na Liverpool huwa inauza mechi! 😂😂😂😂.

Haya bana inaonekana hili kombe halina mvuto. 🤔🤔
 
Poor defending, eneo la ulinzi la Liverpool lilikuwa ovyo sana ni vile tu washambuliaji wa man u hawakuwa makini ila mapema tu zilikuwa zinafika hata 7
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Bora kelele zimepungua mtaani, maana ilikuwa kelo tukutane tena Epl lazima mdondoshe point hapo.
 
Nishawahi kusema hapa , Diazi akili yake haipo haraka kama miguu yake.
Diazi ile ni copy kabisa ya Raheem Sterling, tofauti yao ni mmoja kasuka dread huku huyu mwingine amenyoa punk.
Ila wanangu wenyewe kuku vishingo msijali sana mechi inayofata ya Epl hapahapa Old Trafford tutawapea points3 muongoze ligi, huku mamaCita na Arsenyeto wakipasuana wao kwa wao.
 
Hayo ni maneno yako...Manunu ni Bora afungwe na City akachukue ndoo kuliko Livakuku...yaani Livakuku ugomvi wao na Manunu ni mkubwa sana...mechi ya Ligi Livakuku ahesabu Hana chake
 
Kwamba vijana walikuwa wamesemaje tena...?
One won Carabao , one lost FA...its part of the process..
Here we go again stil in EPL title race na Europa tupoo...

Kudos to the boys, it's not easy as see. Can't ask much kutoka kwao they created lots of chances on another day we win but today we lost cleanly no complain..

YNWA
 
Back
Top Bottom