United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Evans ana EPL tatu ana champions leauge moja ana FA CUP ana carrabo ENGLAND vikombe vyote alishabeba Varane ana karibu Champions leauge nne wew na Ben white wako amebeba kitu Gani mchezaji ata timu ya taifa hana namba wa nin huyoBen Blanko a.k.a bishoo[emoji1783][emoji1783]...hyu hyu mlivyodundwa goli 3 last game alikuwepo...kwhyo tulieni na Yale magalasa yenu kina Lindelof...beki Magwaya beki Evans...kwli mnastahili nafasi mliyopo
maguire akiwa timu ya taifa ana rekodi nzuri tu usimchukulie poa walipigana had wakacheza fainali ya EURO 2021 kwenye kombe la Dunia 2018 walifika semi final.acha kumdharau beki wanguKocha wenu wa timu ya taifa si kalalamika dogo kamtolea nje[emoji1783][emoji1783]...uniite nikacheze beki na kina Magwaya kwli??...wakati kashazoea kina Saliba anajua akipanda huku nyuma anakuacha salama ..Magwaya umuachie mji ukute uko salama kwli??
Shida ya manyumbu mengi mnaishi kwa Historia...Magwaya alikuwa bonge la beki pale Leicester mkamchukua...sijui mlimfanya nn jamaa wa watu....mwshoni mkataka kumtimua kwa nguvu aende West Ham akakaza mpk mumlipe chake mkashindwa ndo maana akabaki...ila wte tulikuwa tunaona alivyokuwa anachomesha...Sasa mtu kama hyo kucheza naye ni stress maana mda wwte anaharibu mambomaguire akiwa timu ya taifa ana rekodi nzuri tu usimchukulie poa walipigana had wakacheza fainali ya EURO 2021 kwenye kombe la Dunia 2018 walifika semi final.acha kumdharau beki wangu
Hyo ni Evans wa Ferguson na hyo mwingine ni Varane wa Mourinho...hakuna timu kubwa yyte itakayowachukua hao watu sasahv ikitokea wakasema kesho hawana mkataba na Manunu...na sababu ni simple tu...viwango havipo tena...ila kwakuwa nyny ni dampo la wachezaji wazee na wakurupukaji kama kina Antony Masebene, Casemiro na kikongwe mwenzie Erikssen ndo maana mnao na mnaendelea kupigwa hela ndefu ya mshahara wakati uwanjani output ni sifuriEvans ana EPL tatu ana champions leauge moja ana FA CUP ana carrabo ENGLAND vikombe vyote alishabeba Varane ana karibu Champions leauge nne wew na Ben white wako amebeba kitu Gani mchezaji ata timu ya taifa hana namba wa nin huyo
Ben White hataki kujisumbua na timu ya taifa. Yeye anataka kucheza Arsenal/ club football tu bhaaas. Baada ya hapo anaona bora alale au afanye zake gardening 😂😂iyo quater final utafanya kitu Gani na Beki zako kina Ben white mchezaji ata Timu ya Taifa tu kupata namba hawezi
Ben White hataki kujisumbua na timu ya taifa. Yeye anataka kucheza Arsenal/ club football tu bhaaas. Baada ya hapo anaona bora alale au afanye zake gardening 😂😂
Iyo Historia na rekodi unayoona wew haina maana ndio imefanya United iwe moja ya klabu yenye mashabiki wengi zaidi Dunia na Historia hiyo hiyo Ndio ilifanya United iwe klabu namba mbili ya karne baada ya Real madrid na iyo iyo Historia ilifanya muarabu atake kuinunua kwa paundi bilioni naneShida ya manyumbu mengi mnaishi kwa Historia...Magwaya alikuwa bonge la beki pale Leicester mkamchukua...sijui mlimfanya nn jamaa wa watu....mwshoni mkataka kumtimua kwa nguvu aende West Ham akakaza mpk mumlipe chake mkashindwa ndo maana akabaki...ila wte tulikuwa tunaona alivyokuwa anachomesha...Sasa mtu kama hyo kucheza naye ni stress maana mda wwte anaharibu mambo
hana namba atacheza kwa NaniBen White hataki kujisumbua na timu ya taifa. Yeye anataka kucheza Arsenal/ club football tu bhaaas. Baada ya hapo anaona bora alale au afanye zake gardening [emoji23][emoji23]
RCB na RB. Southgate amesema Ben White kwa form yake anatakiwa na England sema yeye mwenyewe Ben hataki kuchezea Englandhana namba atacheza kwa Nani
Hyu anaongea kishabiki....yaani anataka kutuaminisha Magwaya ni beki la kiwango cha Dunia ambaye anatakiwa acheze RCB...wakati wte tunajua uwezo wa Magwaya🤠🤠RCB na RB. Southgate amesema Ben White kwa form yake anatakiwa na England sema yeye mwenyewe Ben hataki kuchezea England
Unazidi kuchanganya madesa...hakuna mtu ambaye amekataa kwmba United ni klabu kubwa...lakini huo ukubwa kwa Sasa unatokana na yaliyofanywa nyuma huko kipindi cha Babu Fergie sio Sasa🤠🤠...sasahv mchezaji mzuri aliambiwa aende Manunu au aende Leeds atachagua kwnda Leeds...reason behind ni kwasababu Kila akiangalia pale United kwa Sasa mwny akili ya kucheza mpira haonekani...ukacheze timu moja na Magwaya🤠..Babu Erikssen..mtumishi hewa Shaw🤠...timu beki wa kutumainiwa Lindelof...tuacheni utani...sasahv United ikiingia uwanjani mashabiki wte roho mkononi maana unajua hata mkifunga goli litarudi tu na mnaweza kuongezwa vilevile...mkubali mkatae nyny sasahv ni kikundi cha mdundikoIyo Historia na rekodi unayoona wew haina maana ndio imefanya United iwe moja ya klabu yenye mashabiki wengi zaidi Dunia na Historia hiyo hiyo Ndio ilifanya United iwe klabu namba mbili ya karne baada ya Real madrid na iyo iyo Historia ilifanya muarabu atake kuinunua kwa paundi bilioni nane
sawa wezetu wenye kikundi cha kugombea Top fourUnazidi kuchanganya madesa...hakuna mtu ambaye amekataa kwmba United ni klabu kubwa...lakini huo ukubwa kwa Sasa unatokana na yaliyofanywa nyuma huko kipindi cha Babu Fergie sio Sasa[emoji1783][emoji1783]...sasahv mchezaji mzuri aliambiwa aende Manunu au aende Leeds atachagua kwnda Leeds...reason behind ni kwasababu Kila akiangalia pale United kwa Sasa mwny akili ya kucheza mpira haonekani...ukacheze timu moja na Magwaya[emoji1783]..Babu Erikssen..mtumishi hewa Shaw[emoji1783]...timu beki wa kutumainiwa Lindelof...tuacheni utani...sasahv United ikiingia uwanjani mashabiki wte roho mkononi maana unajua hata mkifunga goli litarudi tu na mnaweza kuongezwa vilevile...mkubali mkatae nyny sasahv ni kikundi cha mdundiko
Siwez kufungwa na timu mbovu kama manjesta,mechi mbili za mwisho hata kufika box la Arsenal kwako ilikuwa mtihanibado nyie lakini mnajiua tu kuwa amna uwezo wa kutufunga pale hata tuwe unga kiasi gani nyie ni mboga yetu pendwa.
Kunajamaa mmoja alisema tukikutana na man u hadi Rashford anakuwa messi kweli nimeamini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coamin kheleher akiwa golini Nina Amani kuliko allison
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we fala umenichekesha sana jinga kabisa.Tumefurahi sana haya makombe achukue City mtaani kwetu kuna mshabiki mmoja tu mtoto wa mzungu,tukose wote
izo mbwebwe zako uwe unatamba ukiwa Emirates OT mim siwezi kufungwa na mlevi kama wew ndani ya misimu zaidi ya kumi umeshinda mara mbili unakuaje na jeuri ya kutamba ovyo ivoSiwez kufungwa na timu mbovu kama manjesta,mechi mbili za mwisho hata kufika box la Arsenal kwako ilikuwa mtihani
Mara ya mwisho kutufunga kiungo alikuwa lokonga
Nyie tutapiga 3 half time
Haya manafas mnayoacha ,Arsenal atawapigeni nyingi,
Kwenye kushambulia Arsenal wanakuwaga watano kwenye 2-3-5
Liverpool waliwadharau wakajua hamuwezi kujipapatua
Arsenal ya Arteta ukicheza hivi na mtacheza hivi maana kocha wenu hana mbinu ni mbahatishaji tu , mkipona sana half time goli 3 ,sikufichi ,naongea kimpira
Mara kumi Chelsea Huwa Wana turn up wanatoa game ngumu, au Luton sio manjesta hii ya tapeli Ten hag
Kama Kuna timu nafurahi tutabeba point za Bure basi ni kwa manjesta View attachment 2938306