Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwenda sambamba haiwezekaniHawa twende nao sambamba kwanza ili tumuache City nyuma. Mwishoni ndiyo wajikanyage tuwapite ππ. Kama vipi wabebe ndoo wao ila si kipara.
Cha muhimu ni msipoteze mechi. Sisi hatuna nia ya kupoteza game hata moja. Tayari tumeshafungwa na City jana (sare kwetu sisi ni sawa na kufungwa) hivyo hatuna budi kushinda mechi zilizobakia.Kwenda sambamba haiwezekani
Sisi tayari ni mabingwa kama ulivyosema
Hilo usahau...kile kikombe cha kahawa mlichopata mbele ya Chelsea ndo cha mwanzo na mwsho msimu huu...yaani timu winger yule Luiz sijui anakimbia anaangalia chini ndo watwae EPLπ€ π€ ..subutuu...j2 mnatupisha pale juu baada ya hapo mtaona vumbi tu linatimkaUnaagua kutoka wapi ndugu mjumbe?π
Liverpool kileleni bingwa Epl.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe.
Huyu mwamba anaitwa Ramsdale.Hilo usahau...kile kikombe cha kahawa mlichopata mbele ya Chelsea ndo cha mwanzo na mwsho msimu huu...yaani timu winger yule Luiz sijui anakimbia anaangalia chini ndo watwae EPL[emoji1783][emoji1783]..subutuu...j2 mnatupisha pale juu baada ya hapo mtaona vumbi tu linatimka
Mama Cita imejichokeaKlopp asipochukua EPL msimu huu basi atakuwa looser mmoja ambaye hajawahi kutokea toka Dunia inaanza,[emoji28][emoji28][emoji28]
Kilichobaki kila mtu ashinde mechi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cha muhimu ni msipoteze mechi. Sisi hatuna nia ya kupoteza game hata moja. Tayari tumeshafungwa na City jana (sare kwetu sisi ni sawa na kufungwa) hivyo hatuna budi kushinda mechi zilizobakia.
Kilichobaki kila mtu ashinde mechi zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cha muhimu ni msipoteze mechi. Sisi hatuna nia ya kupoteza game hata moja. Tayari tumeshafungwa na City jana (sare kwetu sisi ni sawa na kufungwa) hivyo hatuna budi kushinda mechi zilizobakia.
Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe.
Usiseme sisi na nyie
Sisi tayari ni mabingwa π
Tumekaa kileleni hatutoki.
Hatujadili ramli na timu ndogo.
Klopp asipochukua EPL msimu huu basi atakuwa looser mmoja ambaye hajawahi kutokea toka Dunia inaanza,[emoji28][emoji28][emoji28]
Anadegree ya ualimu huyo.... hajui tofauti ya loose na lose.Unajua tofauti ya Looser na loser?
Mwendo ni uleule kama tulivyopanga hakuna kipara kubeba kombe.Safi. Sisi na City tumegawana points.
Sasa ni sisi na nyie kuhakisha tunashinda mechi zetu zote mpaka tumuache City kwa points 6 hivi. Then hapo nyie mnaweza kupoteza moja, sisi tuwapite kwa point 1 na tubebe zetu kombe.
Bila McAllister?Kazi inaze mapema wana kibarua cha kwanza kupata meneja wa kumridhi Klopp, eneo lingine ni beki anahitajika mmoja kwan Matip sioni akabakia, eneo lingine ni kiungo mzuiaji mmoja anahitajika ili kua na kikosi kipana cha kwenda jino kwa jino na timu bora ligi kuu na klabu bingwa.
Kingine na hili la Salah bado bei yake ipo juu huko Waarabuni waamue mapema hii kama anapewa mkataba mpya ama anauzwa na ela afanye yale ya Countinho.. VVD nae mkataba haupo mbali sana na pia Trent.
Upande wa kushoto beki nako naona wapatazame maana Tsimikas ubora wake umechuja sana tofauti na zamani ndio maana hata akiwa mzima Klopp bado anamchagua Gomez
Kikosi kitakua Amorim kocha
Allison
TAA.. Beki mpya.. VVD.. Robo
Domy.. Kiungo mpya.. Macca
Salah.. Nunez.. Diaz
Endo ni safii ila umri haurudi nyuma anahitaji apewe msaada ili kuzuia majeraha ya muda mrefu na Bajetic ndio yule hatuelewi lile jeraha kama halitamsumbua kwa kipindi gani.
YNWA
Sisi tunawaombea nyie mema ila nyie mbatuombea mabaya na njaa. Kidooogo tunawarudishia mara moja moja ila kikubwa kwetu ni kipara asishinde.Kwavile sote Watatu hatukutani tena basi sasa ni muda wa kuombeana Mabaya (injuries) na Njaa (kupoteza points) huku tukijificha kwenye kivuli cha kila mtu ashinde mechi zake.
Kiuhalisia hakuna ukweli wowote kwenye kila Mtu ashinde mechi zake ni kauli ya kujifariji tu lakini ukweli ni kwamba hatuachi kuombeana mabaya ili ujue hilo soma comments za wadau.
Kipara abanwe sana tu aisee. Manyumbu ni majinga ila yatasaidia sana hii kampeni.Mwendo ni uleule kama tulivyopanga hakuna kipara kubeba kombe.