Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Michael Edward mwezi summer ondoa hizi takataka DIAZ ,GAPKO, GRAVENBERCH
 
hii timu tumejaza takataka!
angekuwepo jota tungekua tumeshinda hii game, diaz ni kiazi sana!
 
hii timu tumejaza takataka!
angekuwepo jota tungekua tumeshinda hii game, diaz ni kiazi sana!
Niliongea hiki kitu lakin kuna jamaa huko juu akakataa oooh! Timu haitegemei mtu mmoja.
 
My Prediction today πŸ‘‡

  • Liverpool winning 25%
  • Manure Winning 35%
  • Draw 40%

As long as kwenye utabiri wangu hakuna result iliyovuka 50% basi lolote laweza kutokea but mathematically ni lose or draw, even though I'm going for a draw.

Sio kwamba ninajua kubeti bali huwa najaribu sana kuwa na nidhamu na kuongelea uhalisia.

Tokea mechi ya kwanza ya Anfield nilijua kuwa msimu huu tutapata tabu kwa Manure.

Haya yote nimeangalia History na Mentality ya Manure dhidi ya Liverpool hasa baada ya matokeo mabovu ya Manure kwa msimu uliopita kwa vyovyote Ten Hag asingekubali tena unyanyasaji.

Hata hivyo hongera kwa LiverpoolFC rasmi leo tumemaliza mechi ngumu kwa msimu huu πŸ‘
 
Niliongea hiki kitu lakin kuna jamaa huko juu akakataa oooh! Timu haitegemei mtu mmoja.

Ndiyo kuwepo kwa Jota sio sababu.

Hata Salah asingekuwepo basi watu wangesema "angekuepo Salah tungeshinda".

Kiuhalisia kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa angekuepo fulani.

Kwenye mpira hichi hakipo kabisa ndiyomana tulishinda Champion League tukiwa na Origi wakati tungelikosa ingelaumiwa uwepo wa Origi.
 
Lichezaji muda wote lina kimbia kimbia uwanjani for nothing, Desicion making halina kichwa kimejaa funza
Taratibu ndugu zangu ....DJ tupigie wimbo sisi liverpool tunacheza tukinyatanyata ,tukiunyatia ubingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…