Nashangaa wanavyosema kuhusu jota mara kumi waongelee pasi za TAAHichi kitu kwenye mpira huwa hakina uhalisia hata kidogo.
Huyo Jota anaweza kucheza mechi hii na asipate goli hata la kubahatisha kama tulivyowahi kuona kwenye mechi nyingi tu.
Bdo Everton au Aston Villa alowahi kukutwisha goli saba pale Villa Park...mmojawapo lazima abutue sufuria la mboga mkose wte🤣🤣🤣...hku West Ham naye akijipa matumaini kwmba hawa tunaweza kabisa kuwasimamisha hawa....rasmi leo mmeonesha hamuwezi kuwa mabingwa....labda mliibe kombeNgwaba, Kila mtu anayo haki ya kuwa na Personal Judgement kwa mchezaji.
Hatulazimishani kuamini kile mtu anacho kiamini.
NiliwaambiaHamna timu ya kuwafunga manyumbu nyie, kama Sheffield mnapata ushindi wa papatupapatu, sa manyumbu itakuwaje?
Uko sahihi kwa uzezeta niliouona leo kuanzia kwa Kocha mpaka Wachezaji hatuna chetu tena.Bdo Everton au Aston Villa alowahi kukutwisha goli saba pale Villa Park...mmojawapo lazima abutue sufuria la mboga mkose wte[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...hku West Ham naye akijipa matumaini kwmba hawa tunaweza kabisa kuwasimamisha hawa....rasmi leo mmeonesha hamuwezi kuwa mabingwa....labda mliibe kombe
Mkuu mm siwachukii ila nikiwaangalia Pattern ya uchezaji wenu aisee iko very predictable....hamna plan B wala C...sasa kwa sasahvi ni ngumu sana kwa style hiyo....nna wasiwasi sana ikitokea tukateleza wte Kipara akakaa pale juu...basi hili jambo litakuwa limeishia hapa....halafu watu wanasema Liver ana mechi rahisi nikiangalia opponents walobaki sio wepesi...plus na mechi za Alhamisi europa huwa zina kaupumbavu fulaniUko sahihi kwa uzezeta niliouona leo kuanzia kwa Kocha mpaka Wachezaji hatuna chetu tena.
Aston villa Away
Everton Away
West ham Away
Fulham Away
Kuna mechi 2 hapo tunakufa vizuri kabisa na 2 draw.
Klopp kaisha inua mikono tayariView attachment 2956846
Mechi 8 hzo sio nyepesi kutoboa mkuu 🤔Wameyakanyaga pale juu ndio hatutoki tena.
Kifupi timu yenye uwezo ni ya kipara tuu, hizi nyingine zinambwelambwela tuuMimi nilishasema Liverpool hatoki Kwa hizi game mbili kwenye fixture ...
Against man utd
Against spurs
Hizo nyingine zitakuwa Bahati mbaya ...
Arsenal anarukaruka lakin atakuja kulia tu Ni swala la muda [emoji23],hizi game Arsenal lazima ataita maji mmaaaa
Against spurs
Against Chelsea
Against united ( hapa ndio pabaya maana Ni game ya Pili kutoka mwisho )
Game ya city ngumu Ni Spurs tu ....
Mechi nane nikicheki fixture liverpool na arsenal wote wana tough match.Mechi 8 hzo sio nyepesi kutoboa mkuu 🤔
Mimi nilishasema Liverpool hatoki Kwa hizi game mbili kwenye fixture ...
Against man utd
Against spurs
Hizo nyingine zitakuwa Bahati mbaya ...
Arsenal anarukaruka lakin atakuja kulia tu Ni swala la muda [emoji23],hizi game Arsenal lazima ataita maji mmaaaa
Against spurs
Against Chelsea
Against united ( hapa ndio pabaya maana Ni game ya Pili kutoka mwisho )
Game ya city ngumu Ni Spurs tu ....
Kifupi timu yenye uwezo ni ya kipara tuu, hizi nyingine zinambwelambwela tuu
Jota ni very clinical mbele ya goli mkuu, huwezi kumlinganisha na kina diaz/nunezNdiyo kuwepo kwa Jota sio sababu.
Hata Salah asingekuwepo basi watu wangesema "angekuepo Salah tungeshinda".
Kiuhalisia kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa angekuepo fulani.
Kwenye mpira hichi hakipo kabisa ndiyomana tulishinda Champion League tukiwa na Origi wakati tungelikosa ingelaumiwa uwepo wa Origi.
anakosa sana magoli, na tunahitaji magoli sio mikimbio mkuuDah so Diaz ni kiazi?! Mnaangaliaga mpira au mnasikiliza redioni. Mtu anafanya movement relentlessly 90' every match (kakosa utulivu kidogo tu) toa Diaz unaweka nani kule pembeni atakaeclick vizur?!
Wewe ni qumanina, hujui mpira umbwa weeLivanyeto mnabebwa sana kama vipi tukutane tuzichape kavu kavu maana uwanjani mnabebwa lakini ndo hivyo hambebeki
Unajua mkuu[emoji109][emoji109][emoji109]Sio kwamba ninajua kubeti bali huwa najaribu sana kuwa na nidhamu na kuongelea uhalisia.
Tokea mechi ya kwanza ya Anfield nilijua kuwa msimu huu tutapata tabu kwa Manure.
Haya yote nimeangalia History na Mentality ya Manure dhidi ya Liverpool hasa baada ya matokeo mabovu ya Manure kwa msimu uliopita kwa vyovyote Ten Hag asingekubali tena unyanyasaji.
Hata hivyo hongera kwa LiverpoolFC rasmi leo tumemaliza mechi ngumu kwa msimu huu [emoji122]