Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Mhindi huyo! tangu lini wahindi wakajua kucheza mpira ........
Grand PA
EMRE CAN #TheBeast
Mpira anaujua BR akimpa chance nyingi watu watalia sana anajua kuwaficha watu Sana kwenye dimba
Wakuu nipo mwanza kikazi,huku watu wanafaidi sana soka la ulaya kupitia cable za BeInSports,jamaa wanalipa elf13 tu kwa mwezi na wanachek michuano yote kuanzia League.1,bundesliga,laliga,epl,ucl,fa,etc
Da habari njema wadau DS is back and today he trains at anfield and is expected to be fit and play against crystal palace tarehe 23 nov.
A point of correction mkuu Tores,they train at Melwood training base,sio Anfield jamaa angu.
Kaka magnificent nilikua na furaha sana baada ya kupata hii habari....so nikapitiwa na kuweka anfield badala ya melwood.i hope message was successiful derivered and correctly received.YNWA
hivi hizo nyumba hapo nyuma ni za wachezaji au training ground iko mtaani???
Imebidi nimuambatanishe
daah umenifanya nimkumbuke GEEZ MABOVU