Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Attachments

  • 1415732578127.jpg
    1415732578127.jpg
    108.3 KB · Views: 79
  • 1415732645372.jpg
    1415732645372.jpg
    69 KB · Views: 76
Wakuu nipo mwanza kikazi,huku watu wanafaidi sana soka la ulaya kupitia cable za BeInSports,jamaa wanalipa elf13 tu kwa mwezi na wanachek michuano yote kuanzia League.1,bundesliga,laliga,epl,ucl,fa,etc

As far as I know kwa bara la Africa, Bein Sport is legal kwa ukanda wa nchi za Africa magharibi pekee. Kuna sehemu kadhaa hapa kwetu watu wanaidaka ila siyo rasmi
 
Da habari njema wadau DS is back and today he trains at anfield and is expected to be fit and play against crystal palace tarehe 23 nov.
 
Da habari njema wadau DS is back and today he trains at anfield and is expected to be fit and play against crystal palace tarehe 23 nov.

A point of correction mkuu Tores,they train at Melwood training base,sio Anfield jamaa angu.
 
Last edited by a moderator:
A point of correction mkuu Tores,they train at Melwood training base,sio Anfield jamaa angu.

Kaka magnificent nilikua na furaha sana baada ya kupata hii habari....so nikapitiwa na kuweka anfield badala ya melwood.i hope message was successiful derivered and correctly received.YNWA
 
Last edited by a moderator:
Kaka magnificent nilikua na furaha sana baada ya kupata hii habari....so nikapitiwa na kuweka anfield badala ya melwood.i hope message was successiful derivered and correctly received.YNWA

Tuombe walio itwa teams zao za Taifa warudi salama!!

Any updates about Sakho's injury?
 
Mara BOOOOM kwenye game ya Crystal palace tukawekea 4-3-2-1 ile ile safari hii Danny akisimama peke yake Mbele kule na MB akiwa Bench!!!!!!!!

Hahahahahahahahahahahahahah!!!!

ntacheka saaaana siku hiyo!!

But seriously with Danny back hakuna excuses za kuikwepa "diamond"...

#BringBackOurDiamondFormation
 
ila tuacheni utani nyie, GJ kaisha vibaya sana yule jamaa!!!

viwango vya wachezaj huwa vinaporomoka lakin kwa GJ imezidi sana!!!
 
Back
Top Bottom