Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ikishindikana kwa huyu, Nuno Espirito Santo ana madevu pia...
 
🤣🤣 haya mashindano ya Ulaya sisi kama Liverpool mnaonaje tukiachana nayo ili tuelekeze nguvu nyingi kwenye Premier League?
Cloop amesema mwaka huu anataka kukusanya kila kombe linalopita mbele yake 🤣😂😂, mwaka huu asipoangalia vizuri anaweza ondoka na Carabo tu 🤣🤣🤣
 
Kwa mara ya kwanza mashabiki wa Liverpool wanaondoka uwanjani kabla mechi haijaisha ahahaha ila yule Nunez zile nafas chache alizozipata angezitumia vizur pengine Hali isingekuwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…