Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unalalwa nyumbani kwako imekaaje hiyo...?!!
 
Mpaka hapa kama hauwezi tofautisha pep na Klopp kwenye kutafuta mataji ...basi wewe Ni kiazi ....


Game ya Namna hii mbele unajua kabisa kuna kombe pep hawezi cheka na nyani [emoji28][emoji28][emoji28]
 
dah.......
hii timu bana sijui shida huwa ni nini........

anyway, kwaheri klop...... sidhan kama kuna taji ataongeza!
 
A tough defeat to swallow anyway bado dk 90 nyingine anything can happen
 
Kilope amedharau mechi akaingiza watoto ila baada ya kuona pakti ya condom inakaribia kuisha akaamua kukaza na kuingiza wakurungwa πŸ˜‚ na bado akabakwa japokuwa kwenye interview amesema amebakwa kwa mbinde Sana πŸ˜‚

Anyway, naskia malengo yenu ni EPL na sio vinginevyo πŸ˜‚
 
Kilope mwenye jina la kitapeli la Klopp amesema kwenye interview kuwa ni kweli wamebakwa ila kwa mbinde Sana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…