King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Huyo jamaa ndio anatakaga mawazo yako yasikilizwe hahahaaaaa
Hahahaha[emoji23]Haya ndiyo maisha! Usikute waliokuwa wakimtukana Arteta wamejua kupitia google kuwa Arteta kacheza Arsenal lakini hawakuwahi kumuona akicheza.
Hamna cha mdudu mkuu.Sijui tumekanyaga mdudu gani asee.
Enewei YNWA.
Mkuu unakela sanaπππTuma Ile pesa Jina linakuja EZE[emoji23]
Mkuu bila shaka hua unaangalia Mech... Ishu sio Klopp tu mbali ni ufundishangi wake especially kwenye ishu ya kufunga magoli aidha tuna upungufu wa makocha hio idara ama tuna wachezaji ambao kufunga kwao hawafundishiki especially Nunez... Katika mechi 3 tulizokutana na Manchester United tuna shoti zaidi ya 50 golini lakini je tumeambulia magoli mangapi..
Rate conversion ya Liverpool msimu huu ni 10 kwenye Ligi ina maana hata ubibgwa kwa kufuata stat hati hati kuukosa aisee...
YNWA
Sio poa, lakini stats hazionekani kuwa ni bahati.Hamna cha mdudu mkuu.
Liverpool muda mrefu tulikuwa tunaongoza league kwa bahati ila hatuna quality kabisa compared to Arsenal na Manchester city. Hii EPL tukichukua basi ni bahati.
Na bado hujasema .....mpaka useme[emoji16][emoji23]Kwahiyo Klopp kaamua atuage na Carabao sio?
- Europa 50% bottled
- EPL inaenda kuwa bottled
Mpaka hapa nimeshakosa uhalali wa kuwakosoa wanaomtukana Klopp.