Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hizi myth ni sawa na zile za Washabiki wa Arsenal wanampangia Liverpool kufungwa na Spurs lakini wao wanajipangia kushinda mechi zao zote zilizobakia bila ya hata droo then wanene Ubingwa.

Sasa subiri wakaingie na matokeo yao mfukoni dhidi ya manure wasipoikimbia JF kama Saint Anne.
 
[emoji599] EXCLUSIVE [emoji599]

[emoji837] As Liverpool continue to be linked with Ruben Amorim, they've also been scouting Goncalo Inacio, but is a move on this summer?

[emoji95] FREE subscription to my Daily Briefing Subscribe to Fabrizio Romano's Daily Briefing

Full story - Link in Comments[emoji116][emoji116]
 
Hii timu yetu Back pass zimekuwa nyingi sana. Klopp akifel kwenye counter hana mbinu nyingi za kufungua pattern ya ulinzi ya mpinzani especially timu ikiwa imeweka bus nyuma.
 
Kwahiyo Nunez hafundishiki tena!ama unamaanisha nini?
Mkuu bila shaka hua unaangalia Mech... Ishu sio Klopp tu mbali ni ufundishangi wake especially kwenye ishu ya kufunga magoli aidha tuna upungufu wa makocha hio idara ama tuna wachezaji ambao kufunga kwao hawafundishiki especially Nunez... Katika mechi 3 tulizokutana na Manchester United tuna shoti zaidi ya 50 golini lakini je tumeambulia magoli mangapi..
Rate conversion ya Liverpool msimu huu ni 10 kwenye Ligi ina maana hata ubibgwa kwa kufuata stat hati hati kuukosa aisee...

YNWA
 
Hamna cha mdudu mkuu.
Liverpool muda mrefu tulikuwa tunaongoza league kwa bahati ila hatuna quality kabisa compared to Arsenal na Manchester city. Hii EPL tukichukua basi ni bahati.
Sio poa, lakini stats hazionekani kuwa ni bahati.
Wacha tuone mkuu.
 
Back
Top Bottom