King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Huyo jamaa ndio anatakaga mawazo yako yasikilizwe hahahaaaaa
Mawazo yangu si kitu iwapo utaniwekea Facts ubaoni.
Sasa unataka niamini empty words bila ya facts?
Umeona wapi neno "ANGECHEZA JOTA" likawa facts ndugu?
Hiyo itakuwa ina tofauti gani na kusema angeteleza kipa lingekuwa goli lile?