Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IamMrLiverpool....tunakuhitaji hmu ndani...kutwa kuja kuwanga kule kwny jukwaa letu wakati hali yenu ni tete🤠🤠🤠....bdo mna jambo na Aston Villa...sisi tulineng'eneka tukala 2...sasa nyny na hiki kigenge chenu sijui itakuwaje
 
Katika derbies nikizokuwa nadharau, hii ya Merseyside inaongoza. Kwa ubovu wa Everton na uteja wao kwa Liverpool miaka hii ya karibuni, nilijua Livakuku atajipigia tu. Kumbe sivyo.
 
Katika derbies nikizokuwa nadharau, hii ya Merseyside inaongoza. Kwa ubovu wa Everton na uteja wao kwa Liverpool miaka hii ya katibuni, nilijua Livakuku atajipigia tu. Kumbe sivyo.
Everton ni mbaya sana game za mwisho, kumbuka hata msimu uliopita alifufukia kwetu arsenal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…