Tunajua vyema ni wapi penye udhaifu kutukosesha ubingwa msimu uliopita. Arsenal walikua na ukuta bora kwenye ligi lakin bado wamesajili beki kuimarisha pale nyuma na wapo mbioni kuongeza tena MF maanake no kwamba mapungufu yao wanaimarisha.
Liverpool tunasema DM ni kikwazo hama hatununui, waliopo kama watabaki bado ni amateurs kwenye ligi ngumu, tunao Morton na Bajetic tu ambao by tradition ni DDM au HM huyu mmoja Bajetic msimu uliopita ameumwo mno hivyo sio tegemezi mpaka aongeze bidii na kujilinda asiumie tena.
Tunahitaji DM mmoja, beki RB mmoja, na winga mmoja upande wa kulia.
YNWA