Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwenyezi Mungu na Akatujaalie Mengi Mema YNWA!!
FB_IMG_17238332351111268.jpg
 
Kabla ya Ligi kuanza tunaoijua Liverpool zaidi ya miaka 25 iliyopita tulilalamikia usajili tukashauriwa tuwe wastahimilivu usajili uliobora utafanyika.

Haya Ligi imeanza vipi tuendelee kuwa wastahimilivu au sio?
 
Kabla ya Ligi kuanza tunaoijua Liverpool zaidi ya miaka 25 iliyopita tulilalamikia usajili tukashauriwa tuwe wastahimilivu usajili uliobora utafanyika.

Haya Ligi imeanza vipi tuendelee kuwa wastahimilivu au sio?
0-2
 
Binafsi Arne namuona anamoralina hii timu, kama madogo watafuata maelekezo basi tutaenjoy bolu maana kuna muda naona wanajaribu kuchanganya bolu la utik taka ila bado hawajawa na speed nzuri,, tuwe wapole.
 
Tunajua vyema ni wapi penye udhaifu kutukosesha ubingwa msimu uliopita. Arsenal walikua na ukuta bora kwenye ligi lakin bado wamesajili beki kuimarisha pale nyuma na wapo mbioni kuongeza tena MF maanake no kwamba mapungufu yao wanaimarisha.
Liverpool tunasema DM ni kikwazo hama hatununui, waliopo kama watabaki bado ni amateurs kwenye ligi ngumu, tunao Morton na Bajetic tu ambao by tradition ni DDM au HM huyu mmoja Bajetic msimu uliopita ameumwo mno hivyo sio tegemezi mpaka aongeze bidii na kujilinda asiumie tena.

Tunahitaji DM mmoja, beki RB mmoja, na winga mmoja upande wa kulia.

YNWA

Ujue kusema mapungufu ya timu watu wanaona kama tunalalamika ila sio kweli.

Kwa mf. Last season tulilaumu sana Klopp kumlazimisha Szobo kurudi kuzuia mapungufu ya TAA which it had limited Szobo qualities, it cause injuries only to protect TAA. Sasa hii sio lawama ni uhalisia, kwani tuliona baadhi ya Mechi Szobo akiwa free up front. Agabi Klopp kumchezesha Macca ile lone 6. wakati tunajua hana ubora huo na amesajili natural no. 6 later on alijaa kwenye maoni ya wengi.

Kama sasa hivi tunavyosema tuna kikos finyu sana kwa sasa kupigania all cups which is true sio malalamiko, tuna upungufu wa DM, LCB na atleast Versatile offensive player atakayecheza RW AMF na LW.
 
Back
Top Bottom