Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Grave simuoni akiwa na ubora kama DMGravernberch na Endo wapo Mkuu
Endo umri umeenda lazima awe na mtu mwingine, Chief
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Grave simuoni akiwa na ubora kama DMGravernberch na Endo wapo Mkuu
0-2
Mechi 3 za kwanza kikubwa ni kushindaila bado hatuko sawa.
0-2Kabla ya Ligi kuanza tunaoijua Liverpool zaidi ya miaka 25 iliyopita tulilalamikia usajili tukashauriwa tuwe wastahimilivu usajili uliobora utafanyika.
Haya Ligi imeanza vipi tuendelee kuwa wastahimilivu au sio?
kabisa ili kutengeneza ari ya kuanza mchakamchakaMechi 3 za kwanza kikubwa ni kushinda
Always huwa zinatabisha
It’s too early
Tunajua vyema ni wapi penye udhaifu kutukosesha ubingwa msimu uliopita. Arsenal walikua na ukuta bora kwenye ligi lakin bado wamesajili beki kuimarisha pale nyuma na wapo mbioni kuongeza tena MF maanake no kwamba mapungufu yao wanaimarisha.
Liverpool tunasema DM ni kikwazo hama hatununui, waliopo kama watabaki bado ni amateurs kwenye ligi ngumu, tunao Morton na Bajetic tu ambao by tradition ni DDM au HM huyu mmoja Bajetic msimu uliopita ameumwo mno hivyo sio tegemezi mpaka aongeze bidii na kujilinda asiumie tena.
Tunahitaji DM mmoja, beki RB mmoja, na winga mmoja upande wa kulia.
YNWA