Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huyu ndio mzuri sasaHuyu jamaa naona Yuko too harsh kwa wachezaji wake makocha wa hivi Huwa hawachelewi kupoteza morali ya wachezaji na timu kwa ujumla.
Naona combination ya Jota na Luiz inawapa presha Brentford japo wao wamekua wazuri kubana nafasi.. (space defending) naamini kipindi cha pili kocha atakuja na password ya kufunga hiyo codeKuzifungua Aina ya timu kama Brentford unahitaji mtu anawapa pressure muda wote mabeki
Mbona kama umedata mzeeSasa nafikiri mnaelewa kwann Trent Arnold alilia sana Klop alipoondoka.
Kama ulikuwa unasikiliza mpira kwenye redio huwez kunielewa.Mbona kama umedata mzee
Simuelewi kabisa mwamba [emoji23]Mbona kama umedata mzee
Trent wakati anafanyiwa sub inaonekana hakupendezwa Kuna ishara flani alionyesha kocha naye hakufurahia Ile reaction ya mchezaji wake ndipo akamfuata kwenye kiti na kuongea naye ila kwa jinsi Slot alivyo nina uhakika kamkoromea jamaa.Simuelewi kabisa mwamba [emoji23]
Kufanyiwa sub mbona ni kawaida tu? Sasa acheze dk zote ili fatigue ianze mapema?Trent wakati anafanyiwa sub inaonekana hakupendezwa Kuna ishara flani alionyesha kocha naye hakufurahia Ile reaction ya mchezaji wake ndipo akamfuata kwenye kiti na kuongea naye ila kwa jinsi Slot alivyo nina uhakika kamkoromea jamaa.
Hakuna tena yale ma hug π€ ya Klopp. Slot ni kazi kazi hana bla bla. Kwa hili nasimama nae. Klabu kwanza mengine baadae. Klopp alitaka kua mwema kwa kila mtu wakati mwingine ilimgharimu mechi kwa kukosa ujasiri wa sub kama hizi.Trent wakati anafanyiwa sub inaonekana hakupendezwa Kuna ishara flani alionyesha kocha naye hakufurahia Ile reaction ya mchezaji wake ndipo akamfuata kwenye kiti na kuongea naye ila kwa jinsi Slot alivyo nina uhakika kamkoromea jamaa.
Haifanyi kazi mkuu, mi tangu usiku wa kuhamka jana ina sumbuaHivi Telegram kwenu inafanya kazi? Au ni kwangu tu ndiyo imegoma kufunguka tokea mmiliki wake akamatwe?
Mr captain if you understand one thing about Liverpool you will stop being irritated by FSGFSG wana kamsemo fulani hua wanakaeneza kwa kutumia vibaraka wao.. Utasikia.... "FSG will only buy when the price is good and the deal is super good...." tofauti na hapo wapo tayari dirisha lipite bila kununua sasa unajiuliza walikua na maana gani kutuletea Thiago kwa mshahara ule kama kweli wanafanya homework yao vyema....
I have come to realise FSG wapo very overrated wapo kimaslahi zaidi.... May they prove me wrong...
Some Bad deals chini ya FSG ni ifuatavyo kumnunua Thiago,... Henderson kubakia mpaka Gerrard akatuokoa, kumng'ang'ania Matip, Lalllan, Keita, Milner, Ox...
Kuwaachia Fabby, Gini na Mane wakiwa na ubora wao.
We Need lady luck guys..
YNWA
Klopp na ka cult club kake ka miujiza huku hendersonHakuna tena yale ma hug π€ ya Klopp. Slot ni kazi kazi hana bla bla. Kwa hili nasimama nae. Klabu kwanza mengine baadae. Klopp alitaka kua mwema kwa kila mtu wakati mwingine ilimgharimu mechi kwa kukosa ujasiri wa sub kama hizi.
YNWA
mjapan mhuni yule hana strength katuchoma sanaMr captain if you understand one thing about Liverpool you will stop being irritated by FSG
Being a kop is like being in a cult, all you need to do is to believe
In a perspective view i was irritated when we signed endo and yes endo was bad signing mjapan mhuni yule hana strength katuchoma sana
Klopp knew ndio maana akataka caicedo hata kwa kutoa 125m yaani sio hawajui wanajua where there is a defect
Ni kwamba sasa ni cult organisation
Liverpool ni ka team flani hivi ka miujiza kanakotegemea scousers sajili chache zinazodumu muda mrefu
Better call us mwamposa fc miracle team
Hata kumchukua slot wakachukua mtu anayedevelop vipaji
Si unaona trent sa hivi mapema anatoka kapumzike baba