Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah at Anfield in the Premier League: 128 matches, 128 goals
 
Attachments

  • IMG-20240825-WA0038.jpg
    IMG-20240825-WA0038.jpg
    228.8 KB · Views: 3
Trent wakati anafanyiwa sub inaonekana hakupendezwa Kuna ishara flani alionyesha kocha naye hakufurahia Ile reaction ya mchezaji wake ndipo akamfuata kwenye kiti na kuongea naye ila kwa jinsi Slot alivyo nina uhakika kamkoromea jamaa.
Kufanyiwa sub mbona ni kawaida tu? Sasa acheze dk zote ili fatigue ianze mapema?
 
Trent wakati anafanyiwa sub inaonekana hakupendezwa Kuna ishara flani alionyesha kocha naye hakufurahia Ile reaction ya mchezaji wake ndipo akamfuata kwenye kiti na kuongea naye ila kwa jinsi Slot alivyo nina uhakika kamkoromea jamaa.
Hakuna tena yale ma hug 🤗 ya Klopp. Slot ni kazi kazi hana bla bla. Kwa hili nasimama nae. Klabu kwanza mengine baadae. Klopp alitaka kua mwema kwa kila mtu wakati mwingine ilimgharimu mechi kwa kukosa ujasiri wa sub kama hizi.

YNWA
 
FSG wana kamsemo fulani hua wanakaeneza kwa kutumia vibaraka wao.. Utasikia.... "FSG will only buy when the price is good and the deal is super good...." tofauti na hapo wapo tayari dirisha lipite bila kununua sasa unajiuliza walikua na maana gani kutuletea Thiago kwa mshahara ule kama kweli wanafanya homework yao vyema....
I have come to realise FSG wapo very overrated wapo kimaslahi zaidi.... May they prove me wrong...

Some Bad deals chini ya FSG ni ifuatavyo kumnunua Thiago,... Henderson kubakia mpaka Gerrard akatuokoa, kumng'ang'ania Matip, Lalllan, Keita, Milner, Ox...
Kuwaachia Fabby, Gini na Mane wakiwa na ubora wao.

We Need lady luck guys..

YNWA
Mr captain if you understand one thing about Liverpool you will stop being irritated by FSG

Being a kop is like being in a cult, all you need to do is to believe
In a perspective view i was irritated when we signed endo and yes endo was bad signing mjapan mhuni yule hana strength katuchoma sana

Klopp knew ndio maana akataka caicedo hata kwa kutoa 125m yaani sio hawajui wanajua where there is a defect

Ni kwamba sasa ni cult organisation

Liverpool ni ka team flani hivi ka miujiza kanakotegemea scousers sajili chache zinazodumu muda mrefu
Better call us mwamposa fc miracle team

Hata kumchukua slot wakachukua mtu anayedevelop vipaji

Si unaona trent sa hivi mapema anatoka kapumzike baba
 
Hakuna tena yale ma hug 🤗 ya Klopp. Slot ni kazi kazi hana bla bla. Kwa hili nasimama nae. Klabu kwanza mengine baadae. Klopp alitaka kua mwema kwa kila mtu wakati mwingine ilimgharimu mechi kwa kukosa ujasiri wa sub kama hizi.

YNWA
Klopp na ka cult club kake ka miujiza huku henderson
Huku milner huku trent humwambii mtu yule babu.
Klopp bwana klopp 😂😂 klopp alkua mhuni sana yule mzee anakupump unaamini wewe duniani hamna kama wewe
Ref to Gini haya akahama 😂😂
Na mwingine mnamjua nyie

Klopp alikua ana believe kwenye miracles funny football... fantasies

Na it was funny watching klopp era mimi alifanya ni believe everything ni possible

Huyu slot tumpe muda

Asiporudi kwenye mambo ya cult ya klopp tutaona 😂😂
 
Mr captain if you understand one thing about Liverpool you will stop being irritated by FSG

Being a kop is like being in a cult, all you need to do is to believe
In a perspective view i was irritated when we signed endo and yes endo was bad signing mjapan mhuni yule hana strength katuchoma sana

Klopp knew ndio maana akataka caicedo hata kwa kutoa 125m yaani sio hawajui wanajua where there is a defect

Ni kwamba sasa ni cult organisation

Liverpool ni ka team flani hivi ka miujiza kanakotegemea scousers sajili chache zinazodumu muda mrefu
Better call us mwamposa fc miracle team

Hata kumchukua slot wakachukua mtu anayedevelop vipaji

Si unaona trent sa hivi mapema anatoka kapumzike baba
mjapan mhuni yule hana strength katuchoma sana
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom