FSG wana kamsemo fulani hua wanakaeneza kwa kutumia vibaraka wao.. Utasikia.... "FSG will only buy when the price is good and the deal is super good...." tofauti na hapo wapo tayari dirisha lipite bila kununua sasa unajiuliza walikua na maana gani kutuletea Thiago kwa mshahara ule kama kweli wanafanya homework yao vyema....
I have come to realise FSG wapo very overrated wapo kimaslahi zaidi.... May they prove me wrong...
Some Bad deals chini ya FSG ni ifuatavyo kumnunua Thiago,... Henderson kubakia mpaka Gerrard akatuokoa, kumng'ang'ania Matip, Lalllan, Keita, Milner, Ox...
Kuwaachia Fabby, Gini na Mane wakiwa na ubora wao.
We Need lady luck guys..
YNWA