Mkuu umewatoa watu mchezoni na lile andiko kuhusu Edward aisee dah. Heheh
Nilisikitika sana “heheh” japo kuna ukweli ndani yake.
Hata hivyo Michael Edward ndiye alipeleka mezani jina la Jurgen Norbert Klopp over big names wakati ule (prove me if i’m wrong) kurithi mikoba ya Brendan Rodgers.
Same, he is one appoint Slot ambao wengi wameufurahis mwezi August kwa uwezo wa mbinu zake.
Yes amerithi kikosi kizuri ila ni mbaya kutokukubali aliyerithi ubora wa kikosi naye ni bora.
Edward might have his mistakes ila kwenye upande wa biashara na kuziona talents he is so smart, japo he needed World Class coach like Klopp to bond with his smartness, productively.
I’m huge fan of him tho
Some failures and rejection are for blessings.
Mona.
At the time wakati Klopp anakuwa appointed (October 8, 2015), Edwards was working as a Technical Director, ambapo his main duties ilikuwa ni kusimamia business/image & economic-development status ya Club.
Edwards, alikuja LFC mwaka 2011, akitokea Spurs, alikuwa hired kama Chief Anaylst, 2013 nadhani (siko sure sana) akahamishiwa kwenye offices za Methodology, akiwa ni head wa hiyo area, na hii ni baada ya formation ya Transfer Committee (TC) in 2013. baada ya hapo ndiyo akapanda daraja na kuwa Technical Director at the club.
Kipindi hiki, DOF wa club alikuwa Ian Ayre, na nadhani unajua kazi/roles za Ian Ayre, na huyu ndiyo alimsainisha mkataba wa ajira Klopp at LFC.
Na, pia tukiwa tunaongelea LFC & FSG, mara nyingi sana tunamuongelea John W. Henry, na ni sawa kwasababu ni major Shareholder & owner wa FSG at large, but kuna mtu anaitwa MIKE GORDON, huyo ndiyo roho ya FSG, huyu ndiyo roho ya LFC.
At, FSG, huyu ndiyo yupo tasked na ku-manage kila kitu kinachohusiana na LFC, wakati Klopp yupo, na sahiv wakati hayupo, hawa kina Edwards wote wana-report to him, na ukisikia FSG wamewarudisha kina Edwards at LFC, ujue ni Gordon, ukisikia kuwa FSG kuwa hawataki kutoa kiasi flani kwa mchezaji, ujue ni Gordon.
Kwa mfano, watakachokifanya kina Edwards now kuhusu, Salah/VVD/Trent contracts, ni kukaa mezani na players, na ku-exchange terms, wakifikia makubaliano, wanatoa report kwa Gordon, Gordon akifanya assessment na kuona offers zilizotolewa siyo sustainable kwa Club, ANAPIGA chini, kwahyo ni kazi ya kina Edwqrds kuhakikisha mikataba mipya au mazungumzo ya mkataba huu yanaendana na kile anachokihitaji Gordon, waki-fail, ni kuwa wame-fail at their jobs.
Now, turudi kwa appointment ya Klopp, kwanza mwaka 2015, Klopp alikuwa ni one of the few biggest names kwenye football industry, Klopp alikuwa na msimu mbaya sana wa 2014/15, na baada ya ule msimu akaamua kupumzika (sabbatical leave), ikumbukwe kuwa, mpaka kufikia hapo, Man Utd & Madrid walishajaribu na kuwa turned down, (Fergie mwenyewe had multiple dinners with Klopp kujaribu kumconvince aende Utd, na ni tangu 2013), Sasa kipindi tunamfukuza Rodgers ile 2015, Klopp was a free agent, so jina lake lilikuwa linaimbwa na kila shabiki wa LFC, but deal ilikuwa inaonekana ngumu kwasababu Klopp alikuwa anataka kupumzika kwa mwaka mmoja, hence tukaanza ku-sound out his camp taratibu, lakini mara zote hatukupata majibu, na ndiyo maana tukaruka ruka mpaka kwa kina Carlo ambapo tulipigwa chini, lakini deep down, FSG wenyewe walikuwa wanajua hakuna better coach kwa LFC kama Klopp, ironically, sisi tulicopy model ya Dortmund kipindi kile, so kila FSG walikuwa wakiwaza, wanaona Klopp ndiyo anafaa, ndiyo Gordon akapewa task rasmi sasa ya kuhakikisha Klopp anatua LFC, na alifanikiwa, na ndiyo maana ni mtu anayekuwa CREDITED kwa kumleta Klopp, LFC.
Ian Graham, kipindi kile wakati ndiyo kaajiriwa kama DIRECTOR OF RESEARCH, alipewa task ya kufatilia insights za Klopp, aina yake ya mpira na wachezaji gani wata-fit kwenye mfumo wa klopp na kwa kiasi gani utakuwa sustainable in the long run, na pia Ian Graham ndiye alipewa kazi ya kuhakikisha anaisimamia department ya Data & football science katika kufanya kazi sambamba na Klopp (unataka kucheka? kabla ya hapo Ian Graham alikuwa mpiga poroho The Times, kama sisi tu, sahiv ana firm kubwa ya Data, na sasa anazunguka kumsema vibaya Klopp kwenye medias, life is so funny, isnt it?).
Suala la Klopp lilikuwa ni la FSG, Mike Gordon, pamoja na Ian Ayre aliyekuwa DOF kipindi kile, but haku-play big part kama mtaalam, MIKE GORDON (funny thing is, huwezi kumsikia popote, BUT siku akipiga chini LFC, tumeenda na maji, siyo hawa watoto wadogo kina Edwards).
Nilikuwa sitaki kusema hii, but ni Mike Gordon huwa ana-close down complicated deals (VVD, Keita, Szobo, etc), hence nipo calm sana kuhusu Trent, kama Trent asipo-sign new contract na kwenda Madrid, jua kuwa Gordon hakukubaliana na matakwa ya Trent & Edwards & Hughes wameshindwa kumpa Gordon a Clear path ya kumtuliza Trent at LFC, lakini kama Trent aki-sign new contract, jua tu Mike Gordon amekaa nae mwenyewe kwenye meza ya mazungumzo. maana lets be real mpaka sasa hii ishu ya Trent imeanza kuwa ngumu.
Klopp, alivyosema anaondoka, Gordon flew to Liverpool, aliongea na Klopp for 2 days straight, but alishindwa kum-convince abaki, alivyorudisha majibu kwa kina John & Werner, wakamwambia wapo tayari ku-offer a huge PAY RISE, but Gordon akawaambia haina haja, kama nimefail kwa kuongea nae, hakuna chochote kitam-bakiza.
But, looking back, ni kuwa Klopp aliona anakolekea atatuangusha, maana baada ya 22/23, aliamua kuwekeza nguvu zake zote kwenye msimu uliofata, ili atuache tukiwa tupo Champion league na tuna kikosi kizuri, sidhani angeweza kuendelea, nakumbuka mimi na kina Ngwaba, Don etc tulikuww tunamkalia kooni Klopp kwa kutokuwa selfish & ruthless enough, guess what? kutokuwa kwake Selfish, kumetusaidia sana, team haipo shimoni, team ipo kwenye good shape.
Na, utagundua alichokifanya, Gordon, ni kurudisha ile Spine iliyofanya kazi kwa mafanikio na Klopp, ili kubakiza na kulinda ile blueprint ambayo Klopp ameitengeneza kwa miaka TISA, na kwa kufanya hivyo lazima waje watu ambao wanaijua na wameiishi kwa mafanikio, you see, zamani tulikuwa tunaishi na ile blueprint ya Shankly, na ndiyo ilimpa mafanikio makubwa sana Paisley, na ikaja kumpa mafanikio pia Daglish (akiwa coach), lakini baada ya kuwa shaked sana, tukaiacha, hence tulipata tabu mno, LFC ilikuwa ni ya vipindi (joto na baridi) kwa miaka mingi sana, mpaka tumekuja kuipata blueprint hii aliyoiweka Klopp, na ninachompendea zaidi SLOT amekuja na ku-embrace hii BLUEPRINT, na ndiyo maana ameanza kwa mafanikio makubwa sana.
Now, fast forward, Klopp kaondoka, LFC, a world class coach, unahitaji young coach wa kum-replace, as at this time, siyo rodgers aliyeondoka, ni Klopp, so unahitaji Coach makini wa kum-replace, mwenye kila njia/personality ya Klopp ili kuweza kuiishi hii blueprint, hapo ndiyo Gordon anampigia simu Edwards, na kumuuliza, WILLIAM SPEARMAN anasemaje? Edwards anamwambia Gordon, Spearman kanipa majina matatu, (Alonso, Amorim & Slot), Gordon lazima aliuliza Slot? as Alonso haitaji utambulisho & Amorim was already making noises in europe, Edwards nae atakuwa alimwambia Gordon, Yeah ni Slot hata mimi niliuliza kama wewe, but Spearman kasema yeyote kati ya hawa wanafaa at LFC, then, Gordon atakuwa alimwambia Edwards it must be easy? au nije? Edwards atakuwa alimwambiwa "No, I GOT THIS MATE" & achana na Alonso ambaye we went direct mezani & got rejected, but Amorim & Slot walifanya interviews, wote wali-pass, something went wrong with Amorim, but it took just ONE call kwa Slot kukubali a move to LFC, unajua ile ya unakubali kazi kwanza bila hata ya kujua mshahara, haha. and unajua Slot hata hakujali kuwa maybe alikuwa ni third choice, au Alonso ndiyo ilikuwa our go-to target, au mashabiki washenzi wazungu kuanza kum-doubt kabla hajaanza hata kufundisha at LFC, alikubali move, akijua ni big challenge, na ndiyo maana hata Klopp alivyoongea nae baada ya kuwa appointed, Klopp fell in love with him mapema sana. Slot ni klopp to the core, ndiyo maana sina wasiwasi nae, atashinda kila kombe at LFC, he loves our club man, he loves this club so much.
And, who is William Spearman? ni LFC's LEAD DATA SCIENTIST, & he is main reason, ARNE SLOT is at the Club right now.