Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
ππππKwamba Nunez ni wa B team πππππ... Panga tena mzee.
There was a time jezi ya Salah ilikua inauza asilimia 30 ya mauzo yote ya jezi...kama sikosei mkataba na nike ulikua unasema asilimia 30% ya mauzo yote ziingie Liverpool. Hii ilikua kazi safi ya LeBron James kushawishi ivyo. So Salah is best player kwetu kwa kuzalisha ma mabilioni aiseeHapo nahisi bonus ndio zitashiba zaidi, Salah can play 1-3 seasons kwa alivyo ndio wale few players wanastaafu na mpira wao..!!!
Na kocha kama Slot anayeitafuta CV lazima akae na World class players atleast 2 seasons kabla haja establish wa kwake
YNWA
Fear factor kwa wapinzani inaanza kurejea.Mawazo yangu π€
Tumsifu au kumponda kila kocha kwa zama zake na uwezo wake. Kwasasa tuendelee kufurahia hiki tunachokiona huku tukiomba kidumu, tusijegeuka Spurs, msimu jana walionekana wako serious mpk wakawekwa kwenye wagombea ubingwa, ila siku walipoanza kupigwa mpk huruma.
Hatuhitaji kufanya comparisons kati ya walimu hawa wawili...maana huyo mmoja ni an undisputed living legend wa Liverpool acha apumzike.
Mwamba aliyeturejeshea heshima, na kutupa nafasi ya kuonekana vibanda umiza bila presha
Well any headline to do with Liverpool will create big coverage hivyo kazi kwao... Cha msingi Klopp sio media type of guy wala ma social network ivyo hizi zitaishia kutupasha tu..Nafikiria Media zinataka kutengeneza ligi kati ya Slot na Kloppβ,. Ukitazama mechi zetu hata commentators utawasikia tu βhatukuwahi kuona hili kipindi cha Kloppβ, βhatukuwahi kuona LFC ikicheza mpira huu under Kloppβ kuna vibiashara vinaundwa undwa hapo kupitia βKLOPP vs SLOTβ,.
Thats sijamlaumu Gravern easily naelewa kinachoendelea, na hiyo ni kazi ya media kutafuta headlines za kichokochoko ili kuchokoza hisia za watu its a normal thing.
Remember Sub ya Quansah at First half vs Ipswich, βWe havenβt seen this beforeβ, wakasema jamaa ana criticize wachezaji hadhari tofauti na alivyokuwa Klopp hawakuwahi kuona hili. Trentβs sub last two matches,.
Dr. Ian Graham anachodai Nunez ni chaguo la Klopp sio la wao kama scout na wachambua data, wao walimtaka L. Martinez over Nunez kama ni suala la kumrithi Bobby, of which is true technically otherwise mfumo ulipaswa kuchange ili kumuwezesha Nunez kucheza natural position with natural role but things went ndivyo sivyo Nunez akatuvua taulo mashabiki na watetezi wake.
Its a normal thing kwenye mpira, fikiria mchezaji anayekuja kuchukua mikoba ya Salah pressure atakayoibeba, fikiria mrithi wa VVD itakuwaje?? Mambo ya A vs B hayakwepeki ila mapro wanayategua fresh kama VVD & Salah walivyohojiwa kuhusu Contracts.
YNWA
Anapendeza hivi alivyoAsokote tu dread haha.
YNWA
Hivi the Mona unadhani Kwa vile wewe wa afu2 basi unajua kila mtu atakuwa wa afu2πππππππHehehehe
Kabisa kabisa hana hiyo ladha ya 40+ banaβ¦
Mane kashaua kipaji chake mazima
Aliyemnyoa jamaa nywele akamatwe
Sema haya manyumbu tumejua kuyanyanyasa jamani chaah
Wafia Nyunyez wamefikaπππππKwamba Nunez ni wa B team πππππ... Panga tena mzee.
YNWA
Kwa kweli inaboaSijambo dada Anneβ,.. bibi na mjukuu wakeβ¦
Weekend without EPL Itβs so boring
YNWA
Wachaa weee Mane anataka hela ya kusaidia kijiji chake na ameshanunua na timu ufaransa, anawalipa mishahara wanavijiji wasiokuwa na maisja. Hela ya FSG haikutosha lakini upande wake tuna Lucho na Gakpo jakina shida yoyote. Bobby kashafungua kanisa kule kwao.Mane kashaua kipaji chake mazima
Firmino kinakwenda kufa
Salah genius,aliahtukia mapema mtego
Sasahivi kipaji chake kimepamba motoπ₯
Kwamba ana sura ya kirefaree[emoji23]
View attachment 3089665
He is the engine....
The street ain't ready when the MF combination of Gravenberch, Macca and Domy accelerate. Lady luck guard em against any injuries while playing for thier respective nations
YNWA
View attachment 3089670
In the meantime our last outing... The hunting was epic... Winning 3 nil at Trafford is no joke... Liverpool vs Manchester United means moe... Its war of the titans....
Slot ball taking over gradually.
He is abit risk taker than Klopp maana kwa Klopp hata iweje Gravenberch asingecheza DM...
Already when attacking Dogo Anorld is settling at false 10....waa bring em.
YNWA
There was a time jezi ya Salah ilikua inauza asilimia 30 ya mauzo yote ya jezi...kama sikosei mkataba na nike ulikua unasema asilimia 30% ya mauzo yote ziingie Liverpool. Hii ilikua kazi safi ya LeBron James kushawishi ivyo. So Salah is best player kwetu kwa kuzalisha ma mabilioni aisee
Sasa ndugu yangu Salah is our Galactico yaani ma Yankees kawashika pazuri sana. Maana upande wa merchandise Salah yumo na uwanjani ndio yule wa moto balala.
Apewe miaka miwili tena.
YNWA
Well any headline to do with Liverpool will create big coverage hivyo kazi kwao... Cha msingi Klopp sio media type of guy wala ma social network ivyo hizi zitaishia kutupasha tu..
Klopp is modern Shankly dont be surprised Slot akawa modern Paisley [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
The bootroom is back haha.
YNWA
Hivi the Mona unadhani Kwa vile wewe wa afu2 basi unajua kila mtu atakuwa wa afu2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania inapata uhuru tunaiona