Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo nahisi bonus ndio zitashiba zaidi, Salah can play 1-3 seasons kwa alivyo ndio wale few players wanastaafu na mpira wao..!!!

Na kocha kama Slot anayeitafuta CV lazima akae na World class players atleast 2 seasons kabla haja establish wa kwake



YNWA
There was a time jezi ya Salah ilikua inauza asilimia 30 ya mauzo yote ya jezi...kama sikosei mkataba na nike ulikua unasema asilimia 30% ya mauzo yote ziingie Liverpool. Hii ilikua kazi safi ya LeBron James kushawishi ivyo. So Salah is best player kwetu kwa kuzalisha ma mabilioni aisee

Sasa ndugu yangu Salah is our Galactico yaani ma Yankees kawashika pazuri sana. Maana upande wa merchandise Salah yumo na uwanjani ndio yule wa moto balala.
Apewe miaka miwili tena.

YNWA
 
Mawazo yangu ๐Ÿค”

Tumsifu au kumponda kila kocha kwa zama zake na uwezo wake. Kwasasa tuendelee kufurahia hiki tunachokiona huku tukiomba kidumu, tusijegeuka Spurs, msimu jana walionekana wako serious mpk wakawekwa kwenye wagombea ubingwa, ila siku walipoanza kupigwa mpk huruma.

Hatuhitaji kufanya comparisons kati ya walimu hawa wawili...maana huyo mmoja ni an undisputed living legend wa Liverpool acha apumzike.

Mwamba aliyeturejeshea heshima, na kutupa nafasi ya kuonekana vibanda umiza bila presha
Fear factor kwa wapinzani inaanza kurejea.
Our spine ndio maombi kua DM Gravenberch akae fit, Allison akae fit, VVD akae fit and we are sorted mkuu.

YNWA
 
Nafikiria Media zinataka kutengeneza ligi kati ya Slot na Kloppโ€,. Ukitazama mechi zetu hata commentators utawasikia tu โ€œhatukuwahi kuona hili kipindi cha Kloppโ€, โ€œhatukuwahi kuona LFC ikicheza mpira huu under Kloppโ€ kuna vibiashara vinaundwa undwa hapo kupitia โ€œKLOPP vs SLOTโ€,.

Thats sijamlaumu Gravern easily naelewa kinachoendelea, na hiyo ni kazi ya media kutafuta headlines za kichokochoko ili kuchokoza hisia za watu its a normal thing.

Remember Sub ya Quansah at First half vs Ipswich, โ€œWe havenโ€™t seen this beforeโ€, wakasema jamaa ana criticize wachezaji hadhari tofauti na alivyokuwa Klopp hawakuwahi kuona hili. Trentโ€™s sub last two matches,.

Dr. Ian Graham anachodai Nunez ni chaguo la Klopp sio la wao kama scout na wachambua data, wao walimtaka L. Martinez over Nunez kama ni suala la kumrithi Bobby, of which is true technically otherwise mfumo ulipaswa kuchange ili kumuwezesha Nunez kucheza natural position with natural role but things went ndivyo sivyo Nunez akatuvua taulo mashabiki na watetezi wake.

Its a normal thing kwenye mpira, fikiria mchezaji anayekuja kuchukua mikoba ya Salah pressure atakayoibeba, fikiria mrithi wa VVD itakuwaje?? Mambo ya A vs B hayakwepeki ila mapro wanayategua fresh kama VVD & Salah walivyohojiwa kuhusu Contracts.

YNWA
Well any headline to do with Liverpool will create big coverage hivyo kazi kwao... Cha msingi Klopp sio media type of guy wala ma social network ivyo hizi zitaishia kutupasha tu..

Klopp is modern Shankly dont be surprised Slot akawa modern Paisley ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

The bootroom is back haha.

YNWA
 
FB_IMG_1725732123412.jpg
 
Hehehehe

Kabisa kabisa hana hiyo ladha ya 40+ banaโ€ฆ
Hivi the Mona unadhani Kwa vile wewe wa afu2 basi unajua kila mtu atakuwa wa afu2๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tanzania inapata uhuru tunaiona
 
Mane kashaua kipaji chake mazima
Firmino kinakwenda kufa

Salah genius,aliahtukia mapema mtego
Sasahivi kipaji chake kimepamba moto๐Ÿ”ฅ
Wachaa weee Mane anataka hela ya kusaidia kijiji chake na ameshanunua na timu ufaransa, anawalipa mishahara wanavijiji wasiokuwa na maisja. Hela ya FSG haikutosha lakini upande wake tuna Lucho na Gakpo jakina shida yoyote. Bobby kashafungua kanisa kule kwao.
 
View attachment 3089663

The Mona... I meant this one.

YNWA

Macca played more deep than Graven vs utd,

Yes he played better hakuonekana kupata nyakati ngumu sababu ya Double pivot system,. Ila ile lone ya 2-1 shape ilikuwa mbaya kwake inahitaji natural no. 6 unlike under Slot. Jamaa anaenda na 2-3 shape or even 3-3 shape hata Graven under Klopp kwenye hiyo hiyo 6 asingeweza anayoweza sasa hivi.
 
View attachment 3089665
He is the engine....

The street ain't ready when the MF combination of Gravenberch, Macca and Domy accelerate. Lady luck guard em against any injuries while playing for thier respective nations

YNWA

Jamaa anakimbia muda wote kwenye ile third man runner anaitumia vizuri, ni wakati wa kuanza kufunga na ku assist zaidi.
 
View attachment 3089670
In the meantime our last outing... The hunting was epic... Winning 3 nil at Trafford is no joke... Liverpool vs Manchester United means moe... Its war of the titans....

Slot ball taking over gradually.

He is abit risk taker than Klopp maana kwa Klopp hata iweje Gravenberch asingecheza DM...
Already when attacking Dogo Anorld is settling at false 10....waa bring em.

YNWA

Mbali na yote our third kit is so cool looks calm and winnable kit, Over home kit.

YNWA
 
There was a time jezi ya Salah ilikua inauza asilimia 30 ya mauzo yote ya jezi...kama sikosei mkataba na nike ulikua unasema asilimia 30% ya mauzo yote ziingie Liverpool. Hii ilikua kazi safi ya LeBron James kushawishi ivyo. So Salah is best player kwetu kwa kuzalisha ma mabilioni aisee

Sasa ndugu yangu Salah is our Galactico yaani ma Yankees kawashika pazuri sana. Maana upande wa merchandise Salah yumo na uwanjani ndio yule wa moto balala.
Apewe miaka miwili tena.

YNWA

Mitatu inamtosha, kikubwa akiwashe zaidi, wala haitatumika nguvu kubwa kumpa mkataba mwingineโ€ฆ!!!

Saudia ataenda tu huyu anaweza kukupiga until 37 huko

YNWA
 
Well any headline to do with Liverpool will create big coverage hivyo kazi kwao... Cha msingi Klopp sio media type of guy wala ma social network ivyo hizi zitaishia kutupasha tu..

Klopp is modern Shankly dont be surprised Slot akawa modern Paisley [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

The bootroom is back haha.

YNWA

Umewaza kama mie

Slot our next Paisley ukiitazama history ya Shankly na Klopp inaendana hivi,ngoja tuone kwa Slot how it will be, hopefully will be A A A A

YNWA
 
Hivi the Mona unadhani Kwa vile wewe wa afu2 basi unajua kila mtu atakuwa wa afu2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tanzania inapata uhuru tunaiona

Hehehheh


Mie sawa mdogo, ila sio wa alfu mbili kwa kweliโ€,.
Nitake radhi

YNWA
 
Back
Top Bottom