Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Feel good vibe is back man.Msimu wa kutamba huu, ngumu kuamini ila shikilia hapa hapa
#Liverpool will beat many opponents
YNWA
Siku nikisema Mimi wa alfu 2 naona utafurahi sana[emoji23]
Ushindi sikupiEeh.!! Nitakuwa nimeshinda mechi kwa nini nisifurahi??
Success yake LFC itategemea na uimara wa kikosi kwanza kufanya game management ya wachezaji wale top level ambao ni injini ya timu.. Supa players hua wanahitaji dakika tu na kuleta mabadiliko case study ni KDB alikaa nje gemu kibao last season akarejea gemu yao vs Newcastle akafanya maajabu na pale taa ikawaka kwa kipara ikawa mchakamchaka na kuchukua ubingwa...
Impact ya Salah, VVD, Allison, Trent, Robbo ni kubwa sana kiasi hata wanaocheza nao hua na comfort fulani kwamba wapo kwenye mikono salama. Hivyo hao hakika Slot na department yake ya fitness lazima wawe on spot.
Hughes nae aache bla bla kwa kua tangu anatua pale mapungufu yetu yapo well documented na unless Klopp kaodoka na ma scout woteee sidhan kama kulikua na target mmoja tu...
Slot nae aache bla bla za kuwapa ma Yankees kichwa kwamba eti ameridhi kikosi imara hivyo yupo vzuri...
Mambo ni mengi Slot is settling really well.
Prepare ua pop corn the good times are coming...
YNWA
I won't put my penny kwa Allison footwork vs Arsenal, vs Manchester City hata iweje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
YNWA
Feel good vibe is back man.
We are Liverpool...
Red army,new gaffer same target.
Rock n roll stuff.
YNWA
Ushindi sikupi
Last season was ours to lose... Simpo solution was Jan kuingia sokoni hata kwa mkopo.. Asikudanganye kipara anatamba kwa kua ana wachezaji wanaelewa mfumo wake kuanzia 1st 11 mpaka wachezaji wa akiba.Winning convincingly is what gave us power to cross everyone”,.
Ujue ile Klopp bana kuruhusu magoli ndio ilifanya tupunguze kutamba”,. Maana ni pressure tupu huku Beckor under the two post, you have Nunez infront, Diaz and Gakpo..!!! [emoji81][emoji81]
Last season full of pressure, plus injury crisis…
Manchester City and Arsenal ideas zipo almost identical they swallow you from front yaani hapo ndio utajua kama Allison amekua modern day Dida ama la.[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] i cant wait those games, maana Beckor kwenye footwoork ni pressure kweli kweli,.
🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe zinamfikia... Asijiione amekua Rodri sasa... He has a lot to learn and to adapt hivyo awe humble, work hard and the rest will follow.
Angalia avatar unikadirie miakaUkiwa na furaha sana utafunguka tu hata bahati mbaya,.
24-27 hukosi humo!Angalia avatar unikadirie miaka
Slot ni upgrade ya pep na klopp?Last season was ours to lose... Simpo solution was Jan kuingia sokoni hata kwa mkopo.. Asikudanganye kipara anatamba kwa kua ana wachezaji wanaelewa mfumo wake kuanzia 1st 11 mpaka wachezaji wa akiba.
Slot ni upgrade ya hawa Pep +Klopp = Slotball.
YNWA
Manchester City and Arsenal ideas zipo almost identical they swallow you from front yaani hapo ndio utajua kama Allison amekua modern day Dida ama la.
YNWA
Slot ni upgrade ya pep na klopp?
Give me a break negro
Too early aisee
Angalia avatar unikadirie miaka
Sasa last seazon ilikuaje tukapata majeruhi ndio ikawa taa ya kijani ya ushindi, walivyopona tuu wakarudi ndio tukaanza kupoteanaLast season was ours to lose... Simpo solution was Jan kuingia sokoni hata kwa mkopo.. Asikudanganye kipara anatamba kwa kua ana wachezaji wanaelewa mfumo wake kuanzia 1st 11 mpaka wachezaji wa akiba.
Slot ni upgrade ya hawa Pep +Klopp = Slotball.
YNWA