Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So sub wa Salah atakua Chiesa ama namna gani.
Sub wa Diaz ni Gakpo.
Sub wa Jota ni Nunez😏😏.
Sub wa Gravenberch ni Endo..
Nk nk k

YNWA
 
IMG_20240908_205631_228.jpg
 
Success yake LFC itategemea na uimara wa kikosi kwanza kufanya game management ya wachezaji wale top level ambao ni injini ya timu.. Supa players hua wanahitaji dakika tu na kuleta mabadiliko case study ni KDB alikaa nje gemu kibao last season akarejea gemu yao vs Newcastle akafanya maajabu na pale taa ikawaka kwa kipara ikawa mchakamchaka na kuchukua ubingwa...
Impact ya Salah, VVD, Allison, Trent, Robbo ni kubwa sana kiasi hata wanaocheza nao hua na comfort fulani kwamba wapo kwenye mikono salama. Hivyo hao hakika Slot na department yake ya fitness lazima wawe on spot.
Hughes nae aache bla bla kwa kua tangu anatua pale mapungufu yetu yapo well documented na unless Klopp kaodoka na ma scout woteee sidhan kama kulikua na target mmoja tu...
Slot nae aache bla bla za kuwapa ma Yankees kichwa kwamba eti ameridhi kikosi imara hivyo yupo vzuri...

Mambo ni mengi Slot is settling really well.

Prepare ua pop corn the good times are coming...

YNWA

Nafikiri kuupima ubora wake ni pale atakapowakosa wanajeshi wa kikosi cha kwanza na akapenya salama salmin convincingly,

Hopefully pakichanganya ndipo tutajua je, ni kweli he is our Joshua??
YNWA
 
Feel good vibe is back man.

We are Liverpool...
Red army,new gaffer same target.

Rock n roll stuff.

YNWA

Winning convincingly is what gave us power to cross everyone”,.

Ujue ile Klopp bana kuruhusu magoli ndio ilifanya tupunguze kutamba”,. Maana ni pressure tupu huku Beckor under the two post, you have Nunez infront, Diaz and Gakpo..!!! [emoji81][emoji81]

Last season full of pressure, plus injury crisis…
 
Last season was ours to lose... Simpo solution was Jan kuingia sokoni hata kwa mkopo.. Asikudanganye kipara anatamba kwa kua ana wachezaji wanaelewa mfumo wake kuanzia 1st 11 mpaka wachezaji wa akiba.

Slot ni upgrade ya hawa Pep +Klopp = Slotball.

Slot ni upgrade ya pep na klopp?

Give me a break negro

Too early aisee
 
Manchester City and Arsenal ideas zipo almost identical they swallow you from front yaani hapo ndio utajua kama Allison amekua modern day Dida ama la.

YNWA

Atleast Pep vs Klopp kulikuwa na muda wanaogopana na kuvizia especially last two season(s),. In all competitions ila vs Arsenal last two seasons walitupa nyakati ngumu sana, hasa ukiangalia 2-1 shape ya Klopp halafu walikuwa waki press na 2-3 shape aisee walitubana sana sana, sasa ndipo unahitaji kocha wa mbinu anayejua kubadilika ndani ya mchezo sio kusubiri HT pekee yake. Una switch from 2-1 shape unaenda 2-2 au 2-3 au 3-3.

Good thing kwa Slot kwenye upande wa possession through park of the middle huko ndilo eneo lake.

Nasuburi kwa hamu btn oct to dec ata manage vipi wachezaji wake.

YNWA
 
Slot ni upgrade ya pep na klopp?

Give me a break negro

Too early aisee

Take it or not that is the reality. Slot amekiri kujifunza kwa hao jamaa sana, na misingi yake ya ukocha aliyonayo mpaka sasa amejifunza mengi sana kwa hao jamaa..!!!

Sawa hawezi kuwa kama Pep hawezi kuwa kama klopp, kwa CV but but but on the pitch ameonesha ni mjumuiko wa hao jamaa,. He is not Pep he is neither Klopp, but his style of football ni mjumuiko wa Pep na Klopp not entirely, ila amenyofoa madini mengi kwa hao jamaa. Thats why licha ya kuwa alikuwa Holland ila alikuwa anatumia muda mwingi kuitazama EPL, he didnt even hesitate to say Yes once Edward called him.

YNWA
 
Last season was ours to lose... Simpo solution was Jan kuingia sokoni hata kwa mkopo.. Asikudanganye kipara anatamba kwa kua ana wachezaji wanaelewa mfumo wake kuanzia 1st 11 mpaka wachezaji wa akiba.

Slot ni upgrade ya hawa Pep +Klopp = Slotball.

YNWA
Sasa last seazon ilikuaje tukapata majeruhi ndio ikawa taa ya kijani ya ushindi, walivyopona tuu wakarudi ndio tukaanza kupoteana
 
Back
Top Bottom