Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.Sasa last seazon ilikuaje tukapata majeruhi ndio ikawa taa ya kijani ya ushindi, walivyopona tuu wakarudi ndio tukaanza kupoteana
Pep his idol mate😂😂😂😂😂😂 n nuff respec kwa Klopp ana mu admire haswaa.... He ain't there yet but that where he wonna be.Slot ni upgrade ya pep na klopp?
Give me a break negro
Too early aisee
Well said brother.Take it or not that is the reality. Slot amekiri kujifunza kwa hao jamaa sana, na misingi yake ya ukocha aliyonayo mpaka sasa amejifunza mengi sana kwa hao jamaa..!!!
Sawa hawezi kuwa kama Pep hawezi kuwa kama klopp, kwa CV but but but on the pitch ameonesha ni mjumuiko wa hao jamaa,. He is not Pep he is neither Klopp, but his style of football ni mjumuiko wa Pep na Klopp not entirely, ila amenyofoa madini mengi kwa hao jamaa. Thats why licha ya kuwa alikuwa Holland ila alikuwa anatumia muda mwingi kuitazama EPL, he didnt even hesitate to say Yes once Edward called him.
YNWA
Last 2 seasons Arsenal wamejitahid sana kusajili aisee, Edu has worked wonders in the transfer market na pia kumpa Arteta proper back room staff ambao wamekua wakisaidia sana vijana ndio ule uteja wa kuwapiga nje ndani umekua si kama zamani... Kuwafunga jamaa kwa sasa ni mwendo wa kaunta aisee maana wana ukuta wa Berlin yaani kazi ipo.Atleast Pep vs Klopp kulikuwa na muda wanaogopana na kuvizia especially last two season(s),. In all competitions ila vs Arsenal last two seasons walitupa nyakati ngumu sana, hasa ukiangalia 2-1 shape ya Klopp halafu walikuwa waki press na 2-3 shape aisee walitubana sana sana, sasa ndipo unahitaji kocha wa mbinu anayejua kubadilika ndani ya mchezo sio kusubiri HT pekee yake. Una switch from 2-1 shape unaenda 2-2 au 2-3 au 3-3.
Good thing kwa Slot kwenye upande wa possession through park of the middle huko ndilo eneo lake.
Nasuburi kwa hamu btn oct to dec ata manage vipi wachezaji wake.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kua na huruma basi we mshangazi.Warudi kipigo kiendelee
Tunawasubiri Anfield tuwanyweshe seven up,Nina jokofu Zima la SevenUp hapa nyumbani😂kua na huruma basi we mshangazi.
Sema hata hivyo tunawashukuru sana kwa kutuheshimisha kwa kile kipigo cha 3-0
Kiukweli siku ile niliwasifu sana kwa kuonyesha walau kidogo mna utu mnapokua ugenini, isingekua busara za Amne Slope ile game huenda mngetunywesha 7up nyingine nyumbani kwetu.
Asante Mungu ananipa kuonekana kijana mdogo wakati ni mzee wa miaka ya 70Heheh nikikuambia ni alfu mbili humo humo unanibishia,. Hii vita nitaibuka mshindi mapema tu ndani ya dk 90’ haina ET.
Hata mwandiko una sound alfu mbili hivi, kwa haraka haraka ni 23-27.
YNWA
Kwamba akina Endo ni dhaifu?Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.
Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk
YNWA
Pep his idol mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] n nuff respec kwa Klopp ana mu admire haswaa.... He ain't there yet but that where he wonna be.
Ukitazama mateso wanayapata Chelsea na Manchester United pamoja na kuajiri makocha na kusajili kama kote lakin hawana identity hata mfumo haujulikana... utaona we got the right candidate, actually i wont mind akitoka nil msimu huu bila kombe but at least his philosophy is taking shape kwa ma boys...
Be positive Legend...
YNWA
Last 2 seasons Arsenal wamejitahid sana kusajili aisee, Edu has worked wonders in the transfer market na pia kumpa Arteta proper back room staff ambao wamekua wakisaidia sana vijana ndio ule uteja wa kuwapiga nje ndani umekua si kama zamani... Kuwafunga jamaa kwa sasa ni mwendo wa kaunta aisee maana wana ukuta wa Berlin yaani kazi ipo.
Gemu za Pep na Klopp zilikosa uhondo sana kwa kuviziana yaani tooo much respect aisee but zile za miaka ile 2017 to 2020 zilikua bombastic haswaa.
Ngoja tuone approach ya Slot kwa hizi gemu. Dalili ni kwamba anakwenda na wanao deliver kama uliona alianza na same line up kwa mechi ya Brentford na Manchester United hakutaka mambo mengi.
YNWA
Sasa last seazon ilikuaje tukapata majeruhi ndio ikawa taa ya kijani ya ushindi, walivyopona tuu wakarudi ndio tukaanza kupoteana
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.
Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk
YNWA
Ina maana kikosi kilikua na benchi dhaifu Mkuu kwamba waliuoumia ndio kazi kazi... Unaweza aje kukimbizana na kipara bench yupo Jones, Elliot, Endo, nk nk.... Kingine Klopp alitaka kila kituuuu yaani Carabao, FA, Europa, EPL nadhan ilikia mistake kwa klabu ku target kote bila kua na jeshi imara.
Kwa Slot asiingie tamaa akomae tu na UCL na EPL huko kwingine apange akina Nyoni, Rio Ngumoha, nk nk
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kua na huruma basi we mshangazi.
Sema hata hivyo tunawashukuru sana kwa kutuheshimisha kwa kile kipigo cha 3-0
Kiukweli siku ile niliwasifu sana kwa kuonyesha walau kidogo mna utu mnapokua ugenini, isingekua busara za Amne Slope ile game huenda mngetunywesha 7up nyingine nyumbani kwetu.
Asante Mungu ananipa kuonekana kijana mdogo wakati ni mzee wa miaka ya 70
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila ndani ya misimu kama minne hivi mmeamua kutugeuza shamba la bibi.LFC huwa tuna huruma na kuheshimu wakubwa wenzetu.
Ile mechi kama ni Pep angedunda tu hata zikifika 8 anaendeleza.
Mateso yenu furaha yetu, furaha yenu mateso yetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila ndani ya misimu kama minne hivi mmeamua kutugeuza shamba la bibi.
Ila Ten Hag sidhani kama atakuja kuwasahau maishani mwake, akikumbuka na zile dharau zake za "eras come to an end."
Hujambo toto?Heheh haya mzee kijana
YNWA
Wee Subiri tuwapige kwanza nyie tuna fufukia hapo kwenu livakuku😂😂View attachment 3090543
Mkeka wa vikosi ghali ndio huu hapa. OllaChuga Oc mbona hivi ndugu kikosi cha mapesa kama yote unacho lakini matokeo hafifu kabisa.
YNWA
33 bila kukosea😂😂😂Angalia avatar unikadirie miaka