Sawa nipe nyingine ya muhimu aliyochomesha.,.
Endo sio dhaifu na endo was consistentKwamba akina Endo ni dhaifu?
Mkuu katika uzi wa Member wastaarabu kwenye suala la Sports ni huu. Usije na kasi kutafuta attention za Wastaarabu wa huu uzi. Wapo ambao walikuwa wana comment utoto na upuuzi mwingi lakini sasa hawapo tena.Klopp kuna msimu aliwajaza upepo ,,,,, ety book the flight ✈️,,,, akiwa na maana watu wajiandae final jijiini instanbul,,,kilichotokea ? Kichekesho ! Mnamuimba humu kama mungu mtu,,,,, angekuwa na mafanikio ya fergie? Au zile pep na wenger kuchukua back to back na unbeaten? He is overrated,,, 9 years Epl 1, Uefa 1 ?
Slot ? Tumpe mda
The MoNA Mshangazi wako Saint Anne ni Mbishi kweliii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu katika uzi wa Member wastaarabu kwenye suala la Sports ni huu. Usije na kasi kutafuta attention za Wastaarabu wa huu uzi. Wapo ambao walikuwa wana comment utoto na upuuzi mwingi lakini sasa hawapo tena.
Kelleher mwenyewe ameshakubali matokeo, halafu huu Mshangazi wako ni mbishi tu ina maana anabishana na watu wa Data pale LFC ? Kwanini Marmashavil ndio anakuja kuwa namba 1 at the age of 23 ? Kwanini asiwe Kelleher? After Allison departure?Hehehe huyu dawa itamuingia tu sio mbali”,.
Anataka kuaminisha umma Kelleher has the same quality as Alisson, kwa Reference ya mechi ya Arsenal last season.
Mkuu katika uzi wa Member wastaarabu kwenye suala la Sports ni huu. Usije na kasi kutafuta attention za Wastaarabu wa huu uzi. Wapo ambao walikuwa wana comment utoto na upuuzi mwingi lakini sasa hawapo tena.
Jibu hoja,,,,,mnampamba sana na magazeti humu,,sipo kutaka attention, hili ni jukwaa huruMkuu katika uzi wa Member wastaarabu kwenye suala la Sports ni huu. Usije na kasi kutafuta attention za Wastaarabu wa huu uzi. Wapo ambao walikuwa wana comment utoto na upuuzi mwingi lakini sasa hawapo tena.
Kelleher mwenyewe ameshakubali matokeo, halafu huu Mshangazi wako ni mbishi tu ina maana anabishana na watu wa Data pale LFC ? Kwanini Marmashavil ndio anakuja kuwa namba 1 at the age of 23 ? Kwanini asiwe Kelleher? After Allison departure?
Naona anus imekuja kuachwa sphincter ije kufutua hukuKlopp kuna msimu aliwajaza upepo ,,,,, ety book the flight ✈️,,,, akiwa na maana watu wajiandae final jijiini instanbul,,,kilichotokea ? Kichekesho ! Mnamuimba humu kama mungu mtu,,,,, angekuwa na mafanikio ya fergie? Au zile pep na wenger kuchukua back to back na unbeaten? He is overrated,,, 9 years Epl 1, Uefa 1 ?
Slot ? Tumpe mda
KabisaEndo sio dhaifu na endo was consistent
Sawa nipe nyingine ya muhimu aliyochomesha.,.
Hawa kigoma cha wazigua?Kwahiyo hiyo ya Aseno umeipuuza?
Kwahiyo hiyo ya Aseno umeipuuza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watufafanulie hapoSo sub wa Salah atakua Chiesa ama namna gani.
Sub wa Diaz ni Gakpo.
Sub wa Jota ni Nunez[emoji57][emoji57].
Sub wa Gravenberch ni Endo..
Nk nk k
YNWA