Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp kuna msimu aliwajaza upepo ,,,,, ety book the flight ✈️,,,, akiwa na maana watu wajiandae final jijiini instanbul,,,kilichotokea ? Kichekesho ! Mnamuimba humu kama mungu mtu,,,,, angekuwa na mafanikio ya fergie? Au zile pep na wenger kuchukua back to back na unbeaten? He is overrated,,, 9 years Epl 1, Uefa 1 ?

Slot ? Tumpe mda
 
Mkuu katika uzi wa Member wastaarabu kwenye suala la Sports ni huu. Usije na kasi kutafuta attention za Wastaarabu wa huu uzi. Wapo ambao walikuwa wana comment utoto na upuuzi mwingi lakini sasa hawapo tena.
 
Hehehe huyu dawa itamuingia tu sio mbali”,.

Anataka kuaminisha umma Kelleher has the same quality as Alisson, kwa Reference ya mechi ya Arsenal last season.
Kelleher mwenyewe ameshakubali matokeo, halafu huu Mshangazi wako ni mbishi tu ina maana anabishana na watu wa Data pale LFC ? Kwanini Marmashavil ndio anakuja kuwa namba 1 at the age of 23 ? Kwanini asiwe Kelleher? After Allison departure?
 
Mohamed Salah, Virgil van Dijk and Alisson Becker top the Reds' ratings this year with an impressive 89 rating, while Jarell Quansah has received the highest boost within the squad, jumping from 62 to 75.
In FC25 encouraging experimentation to discover new and compelling small-squad dynamics based on individual player strengths.
IMG-20240910-WA0027.jpg
 
Mkuu katika uzi wa Member wastaarabu kwenye suala la Sports ni huu. Usije na kasi kutafuta attention za Wastaarabu wa huu uzi. Wapo ambao walikuwa wana comment utoto na upuuzi mwingi lakini sasa hawapo tena.

Mkuu katika uzi wa Member wastaarabu kwenye suala la Sports ni huu. Usije na kasi kutafuta attention za Wastaarabu wa huu uzi. Wapo ambao walikuwa wana comment utoto na upuuzi mwingi lakini sasa hawapo tena.
Jibu hoja,,,,,mnampamba sana na magazeti humu,,sipo kutaka attention, hili ni jukwaa huru
 
Kelleher mwenyewe ameshakubali matokeo, halafu huu Mshangazi wako ni mbishi tu ina maana anabishana na watu wa Data pale LFC ? Kwanini Marmashavil ndio anakuja kuwa namba 1 at the age of 23 ? Kwanini asiwe Kelleher? After Allison departure?

Kelleher’s quality ni mid table teams, and he had proved that. Alisson alishaumia severals time na akacheza more than 10 games na hajachukua no.1 bado. Mf mzuri last season Beckor alikuwa nje more than 2 months again Kelleher was there ila hakuchukua no.

Sio kwamba Kelleher ni mbaya Big No, but Kelleher vs Alisson it shouldnt be a debatable.

YNWA
 
Klopp kuna msimu aliwajaza upepo ,,,,, ety book the flight ✈️,,,, akiwa na maana watu wajiandae final jijiini instanbul,,,kilichotokea ? Kichekesho ! Mnamuimba humu kama mungu mtu,,,,, angekuwa na mafanikio ya fergie? Au zile pep na wenger kuchukua back to back na unbeaten? He is overrated,,, 9 years Epl 1, Uefa 1 ?

Slot ? Tumpe mda
Naona anus imekuja kuachwa sphincter ije kufutua huku
 
Waingereza wanasema “Southgate hajui mpira” how comes you bench your best RB (TRENT).???

Trent akijiongeza kidogo kwenye kukaba its over, jamaa offensively ni mtu mbaya sana ana high quality passes…!!
 
Back
Top Bottom