Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu sikubali kuwa kuondoka kwa Suarez ndiyo iwe hivi!
Kuna mengi zaidi ya haya!!

ni kweli kuna tatizo zaidi ya Suarez kuondoka ila last season mechi nyingi mlishinda kwa uwezo binafsi wa Suarez...HE IS A MATCH WINNER
 

ukiachana na RB, i think i'd take Klopp or simeone!!!


Au...Unai Emery????

there's no Doubt, BR is a goner!!!
 
ni kweli kuna tatizo zaidi ya Suarez kuondoka ila last season mechi nyingi mlishinda kwa uwezo binafsi wa Suarez...HE IS A MATCH WINNER

Mechi 5 za kwanza Suarez mwaka jana HAKUCHEZA alikuwa kafungiwa!Tukashinda 3 sare 1 na kupoteza moja!

Mechi kibao Suarez hakufunga wala kutengeneza assists lkn flow ya Liverpool ilikuwa yyt anaweza funga(5-1 na Arsenal hakufunga wala hakutengeneza assists)

Kuna kubwa zaidi ya kuondoka Suarez Liverpool believe me
 
ukiachana na RB, i think i'd take Klopp or simeone!!!


Au...Unai Emery????

there's no Doubt, BR is a goner!!!

Ni kati ya ma manager wachache ambao nimeshuhudia wakijitakia wenyewe kutimuliwa...aende zake akafie mbele huko! Ana mapungufu mengi sana,kuanzia EGO,Transfers,Backroom,
 
Hao mnaofikili wanamuda gani kwenye hizo timu

BR wako hajui kusajili,hajui kupanga timu,hajui mfumo bora kwa timu,ni ms*nge,anawajaza waingereza pale LFC kama timu ya taifa,hao wengine wanaondokewa na wachezaji nyota na bado wamesimama imara..unapewa Pound 100+ unasajili wachezaji kumi bdala ya kusajili wanne tu wa maana! Hebu niambie umuhimu wa kumsajili Lovren wkt ulikuwa na kolo,agger na sakho! Lalana wa kazi gan wkt una Suso,Coutinho,Ibe,Sterling,etc? Kwanini kumpanga SG kama CDM wkt Lucas umemweka bench?
 
Naendelea,Aspas,Borini,Luis Alberto,Assaidi,wote hao hawana hadhi ya kuichezea LFC na kawaleta yeye! Angalia wachezaji wanaoisaidia timu karibia wote BR kawakuta! Sterling,Suso,SG,JE,Suarez,Hendo,Agger,Skirtel,Flanagan,Lucas,etc etc...tangu aje BR kasajili mchezaji mmoja tu wa maana,PHiL! Huyo mwingereza mwenzie mwenye miguu ya glass msimu huu keshakosa game 14 hadi sasa.
 
Ukitaka kujua ya moyoni ya mashabiki ngoja timu ifungwe.

Napita tu
 

Mkuu nakuunga mkono ila kwa Lucas kiwango kimeshuka sana, na huyu BR anatatizo gani na SUSO?
 
Am not in a position to give a post-match analysis because I didn't watch the game but from what I have read and heard, it smacks of a nosedive to a giant.

BR now appears to be losing even what has remained of his loyalest supporter in me (probably his only one on this forum). I think I too am going to ditch him soon but not so fast. Not because he needs time, it's because we don't even have a stop gap solution....sacking BR now might land us staring right into the glaring flame of the relegation dogfight, and possibly plunging right into it!!

We can borrow a leaf (not a very green one but it's still a leaf) from Manure last season who kept their patience with their "chosen one"...imagine from a champion to a mid-table struggler, yet they held onto their miserable manager and spared themselves from plunging into the always dreaded bottom-end dogfight!

We are angry. I feel am probably angrier than everybody else out there but let's keep our sanity in check. Let's not allow emotions win over reason. Let's keep our feet firmly on the ground and rally behind what has remained of BR and his charges. Let's for now stop talking about who (BR)......let's talk about whats, hows, etc because am sure BR will now start listening to what you guys are going to voice over to him.

YNWA!
 

Mkuu imenibidi nikaitafute hii kauli ya BR kwa Tottenham

“Look at Tottenham … [when] you spend over
£100m you’d expect to be challenging for the
league.”

This was aimed at Tottenham last season,
following their heavy spending after Gareth Bale’s
exit, and it was probably Rodgers’ most
regrettable quote since taking over at Anfield in
2012.

This summer, the Reds’ boss splashed £117
million on new players, using the £75m received
from Barcelona for Luis Suarez , and more.

Kwa hiyo kauli yake ukiachana na ile aliyowatolea Man u tulipowapiga 3-0 last season na ile kwa SOTON tulipo bomoa kikosi chao but still now they smile lovely on second place. This man is real shit

Nakumbuka pia alidai tusim-judge kwa 5 games but tum-judge after 10 games that we can see where we are...... hahaaaaha (not funny am in deep pain) we have already 12 games and not in top 10.....!!!!!?

Afu still huyu BR anakauli za kishujaa tu anapohojiwa
 
Mkuu nakuunga mkono ila kwa Lucas kiwango kimeshuka sana, na huyu BR anatatizo gani na SUSO?

Suso kaumia
Weka Kolo badala ya Lovren
Weka Sakho badala ya Skrtel
Can aanze dimba la chini
SG free role dimba la juu
Pembeni Hendo na Lallana
Wawili wa mbele Coutihno na Borin

Tutaanza kushinda kiurahisi tu lkn kwa team yake hii hata Stoke City week hii anajichukulia points kiurahisi kabisa
 

Hii ndio timu ya ushindi, kwani hana washsuri pale
 
Hii ndio timu ya ushindi, kwani hana washsuri pale

Kitu cha kwanza jana BR anaongea na media anasema "my job is safe"! kocha wetu nina wasi wasi sana na IQ yake

Mabao yote 3 jana ni uzembe wa mabeki!Bao 2 za kwanza walimpa too much room Bolassie afanye atakavyo na bao ka 3 unnecassary free kick anaittoa Skrtel!!

Toa mabeki hawa wa kati now kuanzia na mechi ya Jumatano Bulgaria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…