ndio chifu, kuna la zaidi, the team ni kama imecollapse... body language inazidi kuwa ya chini sana
- Glen anakimbia bila malengo
- Skertel sasa anazidiwa nguvu hata na Gayle
- Lovren is worse that Adre wisdom au Kolo Toure (ameacha hata kuongea coz hana confidence) haongei kabisa na skertel
- Gerro kawa bubu, and he looks tired and not interested
- Allen ni yuleyule, hana purpose wala direction, anatafuta open space na kuishia kuwa king wa backpasses
- Cou sijui hata nisemeje, haeleweki
- Raheem seems to have lost his spark, its either anatomba sana, au hana hamu na timu
- Manquillo sina cha kusema, bado mdogo kwa EPL (BTW, hivi Flano anarudi lini?)
- I see adam labda ndio kwa mbaaali ana chembe za uongozi na kusimama against anyone kwenye pitch
Nimemtetea sana BR, ila kwa sasa hakuna excuses, na ukiangalia comments za LFC.TV ni kama 95% wanataka aishie,
we need a new life, but not Benitez