Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii mechi tumepoteza kwa ukaidi wa BR, atamuweka Bali wake, Nina wasiwasi na hii game ndio itakua mwisho wake pale meryseside
 
Hafiki huko mkuu!
Mwisho wake ni Jumatano huko Bulgaria na hapa nasali rozali tufungwe atoke!

Kalewa sifa huyu

aisee...yaani nilifikiri sisi ndio wenye hali mbaya sana kuliko wenzetu!
 
aisee...yaani nilifikiri sisi ndio wenye hali mbaya sana kuliko wenzetu!

Man City,Liverpool,Arsenal na Liverpool wote ni tia maji tia maji tu!!Hamna kitu kaka tunampa ubingwa Chelsea mapema kabisa
 
Pamoja na kuwa hali ni tete, jambo jema ni kuwa BR atapita lakini Liver itabaki kuwa Liver tu... YNWA. Tuko pamoja wakuu ktk shida na raha...
 
Pamoja na kuwa hali ni tete, jambo jema ni kuwa BR atapita lakini Liver itabaki kuwa Liver tu... YNWA. Tuko pamoja wakuu ktk shida na raha...

tatizo nikwamba tutakua wa ivi ad lini...tumebak wa kujisifia mafanikio ya 80's..inaudh sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…