Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,622
Kitu cha kwanza jana BR anaongea na media anasema "my job is safe"! kocha wetu nina wasi wasi sana na IQ yake
Mabao yote 3 jana ni uzembe wa mabeki!Bao 2 za kwanza walimpa too much room Bolassie afanye atakavyo na bao ka 3 unnecassary free kick anaittoa Skrtel!!
Toa mabeki hawa wa kati now kuanzia na mechi ya Jumatano Bulgaria
Hii mechi tumepoteza kwa ukaidi wa BR, atamuweka Bali wake, Nina wasiwasi na hii game ndio itakua mwisho wake pale meryseside

