Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni nadra sana Nunez acheze na usimuone uwanjani unlike Jota,
Jota anakupa 2-4 good games baada ya hapo anapotea just from no where. However he is so clinical, i like the guy.

YNWA
Mi naongelea akili za kumalizia magoli
Kajota kagenius sana aisee,kana akili ya haraka mno kakishafika pale golini.
 
Unataka nisiweke mdogo wangu
Wakati Cody mdogo wangu kabisa upande wa Mjomba kule Uholanzi🤣
 
Huyo Chiesa anakimbia utasema mwizi anafukuzwa
Anataka abutue tu mbali naye awe Trent na Gakpo wanaofungiaga mbali.

Sasa yeye ni kuufumua tu mpira aisee
Hapana kwa kweli
Hamna mtu humo.
 
Kama Bradley ana confidence Gomez anaikosaje?

Huwa naamini kwamba Gomez aliishia msimu wa 2019-2020 baada ya hapo hamnamo mtu
 
Matukio kama haya anayofanya kelleher huwa hamuyaoni kabisa
Angekuwa namba Moja wenu hapa lilikuwa ni goli tayari
Kelleher bado hauwezi kumuanzisha ikiwa Allison yupo sawa, na uwezo wake kwa Liverpool fc bado anastahili kuwa 2nd golie kwasababu bado ana mengi ya kuendelea kujifua ili awe namba moja kwa Liverpool fc.

He can be a first choice somewhere else kwa sababu hiyo quality anayo lakini sio kwa Liverpool fc, ingekuwa kipindi cha akina Chris Kikland absolutely angekuwa namba moja lakini sio hii ya Allison Becker
 
Diaz na Cody ni wachezaji wanaocheza nafasi moja lakini wanaokupa aina mbili tofauti za uchezaji wao. Na ndio maana hata Arne huwa kuna namna anatwist mfumo wa kucheza pindi anapotoka mmoja kuingia mwingine.
 

Salah ni egoistic sana, ila tuwe wa kweli pia, pamoja na kilema chake hicho, lakini

1. Ana deliver
2. Hamna mbadala wake RW.

Its not must be like for like sub, but system. Last season we were having moments without him, na magoli yalikuwa yaki flow vizuri tu. So its up to Slot.

YNWA
 
Huyo Chiesa anakimbia utasema mwizi anafukuzwa
Anataka abutue tu mbali naye awe Trent na Gakpo wanaofungiaga mbali.

Sasa yeye ni kuufumua tu mpira aisee
Hapana kwa kweli
Hamna mtu humo.

Hivyo ndivyo alivyo na ndio style yake ya uchezaji. Anayataka magoli hasa akiwa pale Anfield. Atleast hizo long range shots zinakuwa on target its a good sign.

Atakuja kukaa sawa. Anatafuta fitness.
YNWA.
 
If its was my vote wi wil say yes to Salah new contract give him 2 years and get his replacement before those 2 years... Not convinced by Chiesa playing RW as hier to Salah, Chiesa delivers better playing LW though now we have Diaz and Gapko on that side, Jota and Nunez in the middle thus wild card will be Chiesa...

May FSG make the best decision if Salah stays we are lucky cz to him age is just a number... But if they decide he is leaving basi tuone mbadala wa ukweli.. Tetesi ni Rodrygo wa Real Madrid, well that a long shot mate.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…