Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni nadra sana Nunez acheze na usimuone uwanjani unlike Jota,
Jota anakupa 2-4 good games baada ya hapo anapotea just from no where. However he is so clinical, i like the guy.

YNWA
Mi naongelea akili za kumalizia magoli
Kajota kagenius sana aisee,kana akili ya haraka mno kakishafika pale golini.
 
Kwani bila kuweka mdogo wangu ujumbe usingefika?? 🫠🫠🫠

Ungeuliza tu “umemuona Gakpo?? Heheh alfu mbili hiyo inakimbiwa.

Yeah nimemuona Gakpo, I Love The Boy, mzuri sana na hatari akiwa kwenye LW, akitokea winga ya kushoto, ni mlengaji mzuri sana wa goli.
Last season alitumika vibaya kiasi uzuri wake haukutunufaisha moja kwa moja.

YNWA
Unataka nisiweke mdogo wangu
Wakati Cody mdogo wangu kabisa upande wa Mjomba kule Uholanzi🤣
 
It was like a simple match to LFC hivi, kutokana na uzito wa mechi yenyewe, kuwa Anfield na line up selection probably.

My View:
Game was good at his own.

Wengi wanakosa game time na imewafanya kukosa confidence.

Gomez (lack confidence).

Quansah (ile sub vs Ipswich imemuathiri sana, own goal plus yellow card imempunguzia kujiamini). Wish Slot to give him some mins kwenye premier league.

Bradley has confidence and desire, which is good.

Endo 50/50 sita anayoicheza under slot system naona ata-struggle sana, feel sorry to him kwa uwepo wa Gravern (ame click) hata Macca as 6. he is far miles better than Endo especially kwenye double pivot. But i cant judge him negatively alot kwani alicheza na Jones kwenye hiyo pivot, may be angecheza na Macca au Gravern could have done it better.

Wish to see him with either Gravern or Macca, hope he will do much better.

Chiesa
not yet ready not sharp enough, but he is looking good so far, one assist not bad, his first touch at Anfield was shot on target. Expect solo goal from him. He will come a good player in the near next future (coming to 2-4 games).

The rest looks sharp enough and ready.

Jota: Clinical finisher as always,

Nunez: Good game so far under slot, hope his calmness will continue and flourish under Slot.

Gakpo: Anamuuliza Diazi maswali magumu sana, Hello Diaz my brother are you ready for the bench? If not keep scoring in the league otherwise i will bench you soon. No. position yake ni LW keep him there and he will deliver, PSV played there, Euro played there, and Slot played there na ana click.

Slot anapata two good LW (Gakpo and Diaz).

Jones: As i said jamaa ana kipaji, ni presser mzuri sana, ana skills nzuri ni ball career mzuri sana, changamoto yake ni utoto mwingi, na overconfidence.
Tazama assist yake kwa Jota, utulivu mzuri sana. Alifanya two mistakes ambazo zinginezaa magoli kwa Westham.

Kelleher Superb again, under 3 posts we have, you cant imagine he is our 2nd GK.

Nilipenda pressing ya Westham ilitupa mwanya mzuri wa kucheza, 4-2-4 yao ya kukaba ilitupa mwanya wa kupenya hawakuwa na mtu wa ziada ya kufanya pressing nzuri, thats why Gomez, Quansah, Endo and Jones wali enjoy kwenye build up. 4-4-2 yetu kwenye kukaba ilitumika vizuri na kwa manufaa, kwani Westham hawakuwa threat kwa ukubwa huo.

Yule Paqueta ni mchezaji mzuri sana, hastahili kuwepo Westham, yule aende big team pale pale EPL, akaoneshe kipaji chake.

It was an easy match, for LFC overall.
Unaweza ukahisi bado LFC ipo under Jurgen Klopp, Slot anafanana vingi na Klopp japo yeye ameongeza possession football, matumizi ya double pivot, plus quality passes.

Go Slot.
Go Reds
Go Liverpool
Up reds
YNWA.
Huyo Chiesa anakimbia utasema mwizi anafukuzwa
Anataka abutue tu mbali naye awe Trent na Gakpo wanaofungiaga mbali.

Sasa yeye ni kuufumua tu mpira aisee
Hapana kwa kweli
Hamna mtu humo.
 
Kama Bradley ana confidence Gomez anaikosaje?

Huwa naamini kwamba Gomez aliishia msimu wa 2019-2020 baada ya hapo hamnamo mtu
 
IMG-20240926-WA0006(1).jpg
 
Matukio kama haya anayofanya kelleher huwa hamuyaoni kabisa
Angekuwa namba Moja wenu hapa lilikuwa ni goli tayari
Kelleher bado hauwezi kumuanzisha ikiwa Allison yupo sawa, na uwezo wake kwa Liverpool fc bado anastahili kuwa 2nd golie kwasababu bado ana mengi ya kuendelea kujifua ili awe namba moja kwa Liverpool fc.

He can be a first choice somewhere else kwa sababu hiyo quality anayo lakini sio kwa Liverpool fc, ingekuwa kipindi cha akina Chris Kikland absolutely angekuwa namba moja lakini sio hii ya Allison Becker
 
Gakpo: Anamuuliza Diazi maswali magumu sana, Hello Diaz my brother are you ready for the bench? If not keep scoring in the league otherwise i will bench you soon. No. position yake ni LW keep him there and he will deliver, PSV played there, Euro played there, and Slot played there na ana click.

Slot anapata two good LW (Gakpo and Diaz).
Diaz na Cody ni wachezaji wanaocheza nafasi moja lakini wanaokupa aina mbili tofauti za uchezaji wao. Na ndio maana hata Arne huwa kuna namna anatwist mfumo wa kucheza pindi anapotoka mmoja kuingia mwingine.
 
By the way tetesi ni kwamba ma scouts wameshamtupia macho mara kadhaa huyu mwamba... Anajituma sana tu yaani ni Liverpool type of player... Namkumbali sana huyu bwana mdogo.
Haya ya Salah kutopewa sub hua kipengele sana maana hata awe na bad day uwanjani yeye yumo tu aisee ila nachoona kama sio mkataba wake kuhitaji hivi basi itakua ni Slot kujipa muda ku review vyema wachezaji wake ili hata kama dogo akiwekwa benchi basi awe na uhakika na response anaemuweka...
Kama jana umeona Jota kacheza namba 10 na amedeliver vyema tu nadhani by January Slot atakua kashajua vyema kuwatumia wachezaji wake aisee. Tumpe muda yeye ataamua nani wakuuza nani apewe mkataba nani aodoke hata bure....

YNWA

Salah ni egoistic sana, ila tuwe wa kweli pia, pamoja na kilema chake hicho, lakini

1. Ana deliver
2. Hamna mbadala wake RW.

Its not must be like for like sub, but system. Last season we were having moments without him, na magoli yalikuwa yaki flow vizuri tu. So its up to Slot.

YNWA
 
Huyo Chiesa anakimbia utasema mwizi anafukuzwa
Anataka abutue tu mbali naye awe Trent na Gakpo wanaofungiaga mbali.

Sasa yeye ni kuufumua tu mpira aisee
Hapana kwa kweli
Hamna mtu humo.

Hivyo ndivyo alivyo na ndio style yake ya uchezaji. Anayataka magoli hasa akiwa pale Anfield. Atleast hizo long range shots zinakuwa on target its a good sign.

Atakuja kukaa sawa. Anatafuta fitness.
YNWA.
 
Salah ni egoistic sana, ila tuwe wa kweli pia, pamoja na kilema chake hicho, lakini

1. Ana deliver
2. Hamna mbadala wake RW.

Its not must be like for like sub, but system. Last season we were having moments without him, na magoli yalikuwa yaki flow vizuri tu. So its up to Slot.

YNWA
If its was my vote wi wil say yes to Salah new contract give him 2 years and get his replacement before those 2 years... Not convinced by Chiesa playing RW as hier to Salah, Chiesa delivers better playing LW though now we have Diaz and Gapko on that side, Jota and Nunez in the middle thus wild card will be Chiesa...

May FSG make the best decision if Salah stays we are lucky cz to him age is just a number... But if they decide he is leaving basi tuone mbadala wa ukweli.. Tetesi ni Rodrygo wa Real Madrid, well that a long shot mate.

YNWA
 
Back
Top Bottom