Huyu ni wa juzi juzi tu wakati tunaondokewa na Fabinho. Andre alihitaji kuendelea na timu yake ya Fluminense kwaajili ya CW, akakuta Liverpool imeshaenda kwa akina Endo na Ryan ikamgeuzia shingo...Akome
Pumbafu sana huyu alituringia yupo kwenye kitimu kinachopambania kisishuke daraja. Angekuja kwenye timu ya UEFA maisha yangekuwa mazuri sana. Unamuona Luis Diaz alivyoiva ??? 🤣🤣🤣Akome
Vip bado upo mkuu au salamu zangu hujafikisha humuHuna marinda wewe
Jamaa nilichomfanya hawezi kurudia tena kunichezea[emoji23][emoji23] dah wee jamaa huwa una vituko
HUYO Diaz kafanya nn sasaWaliosema tunajisumbua kumuingiza Diaz ni nani? [emoji1787][emoji1787]
Liverpool tunauliwa na VAR leoVR wamechoka, wamebadili press style na sasa zamu ya Liverpool
ChukuaNaombeni links ya kucheki game live .wanangu
Sure game kali saanaHaya majitu yamekuja kivingine sasa. Yatapata goli maana possession yao inazidi kuongezeka
Super subWakati wa Origi umekaribia [emoji16][emoji16]
Game onLiverpool wanatakiwa kuepuka kutumia nguvu na body contact, hawa jamaa wamepania kucheza kwa kugusana gusana tu na manguvu nguvu tu ila pale mbele Liverpool front three wakiwa wajanja wanaweza pia kupata close fouls ama penalts.
Tukiwafuataga wanajiona keki wapuuzi hawaHuyu ni wa juzi juzi tu wakati tunaondokewa na Fabinho. Andre alihitaji kuendelea na timu yake ya Fluminense kwaajili ya CW, akakuta Liverpool imeshaenda kwa akina Endo na Ryan ikamgeuzia shingo...
Unajua Miss Liverpool timu yetu huwa haibembelezi sidhani hata yule Zubimendi itamrudia tena mwezi January. 🤣🤣🤣
Game letu mkuuKama unaogopa hii mechi kalale, hii mechi nyepesi sana bado kwetu ni vile tumetaka kuwa low tu ila sion ugumu
Liverpool tunafugwa leoTukiwafuataga wanajiona keki wapuuzi hawa
Sisi tunasonga mbele kama injili
Kama lile la Chelsea li ceicido sijui nani nani
Lishaua kipaji mazima.
Tunawafunga kumi hawaHawajiamini unaona hata kocha wao kaanza kuchanganyikiwa
Liverpool for lifeWe are there and we will be there! Liverpool Daima. Dah! nikiona hiyo nembo napata faraja sana.
Teh teh teh mgonjwa nani sasa?
Manager huyu ni mbovu saana atupisheliverpool is a great club, our problem is confidence of the manager... How can a title team play defensive against bottom of the league teams??!!
Mkuu upo mitungi au vip?Game letu mkuu
Aston villa anakufa 3I guess all eyes on us now! Since all the so called big five (including Aston Villa) have won, we ought to win on Monday as well. And we will.....hata kama mashabiki wa Manu na Chelsea mtakuwa bize kubana makorodani yenu....lol
Go Liverpool~
Tumefungwa bhankimyaaaaaaaaaaaa .... utafikiri siyo thread yenu. hapo ndo msahau sasa hatutoki kileleni ng'o!
Kheee tumedroo kumbeLiverpool 1 - 1 everton