Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Huyu ni wa juzi juzi tu wakati tunaondokewa na Fabinho. Andre alihitaji kuendelea na timu yake ya Fluminense kwaajili ya CW, akakuta Liverpool imeshaenda kwa akina Endo na Ryan ikamgeuzia shingo...Akome
Unajua Miss Liverpool timu yetu huwa haibembelezi sidhani hata yule Zubimendi itamrudia tena mwezi January. 🤣🤣🤣