Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu ni wa juzi juzi tu wakati tunaondokewa na Fabinho. Andre alihitaji kuendelea na timu yake ya Fluminense kwaajili ya CW, akakuta Liverpool imeshaenda kwa akina Endo na Ryan ikamgeuzia shingo...
Unajua Miss Liverpool timu yetu huwa haibembelezi sidhani hata yule Zubimendi itamrudia tena mwezi January. 🤣🤣🤣
 
Liverpool wanatakiwa kuepuka kutumia nguvu na body contact, hawa jamaa wamepania kucheza kwa kugusana gusana tu na manguvu nguvu tu ila pale mbele Liverpool front three wakiwa wajanja wanaweza pia kupata close fouls ama penalts.
Game on
 
Huyu ni wa juzi juzi tu wakati tunaondokewa na Fabinho. Andre alihitaji kuendelea na timu yake ya Fluminense kwaajili ya CW, akakuta Liverpool imeshaenda kwa akina Endo na Ryan ikamgeuzia shingo...
Unajua Miss Liverpool timu yetu huwa haibembelezi sidhani hata yule Zubimendi itamrudia tena mwezi January. 🤣🤣🤣
Tukiwafuataga wanajiona keki wapuuzi hawa
Sisi tunasonga mbele kama injili

Kama lile la Chelsea li ceicido sijui nani nani
Lishaua kipaji mazima.
 
I guess all eyes on us now! Since all the so called big five (including Aston Villa) have won, we ought to win on Monday as well. And we will.....hata kama mashabiki wa Manu na Chelsea mtakuwa bize kubana makorodani yenu....lol

Go Liverpool~
Aston villa anakufa 3
 
Back
Top Bottom